Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ulilazimishwa kumuoa?

Usitake kumharibia maisha mwenzio kwa kumpa stress ukasababisha atoe uhai wako au wake bure,shauri lako,hao viumbe usipotumia akili utaishia pabaya sana,ishi nao kwa akili
 
Pole sana mkuu, I can feel you. Kwa angle nyingine,
Naomba ujue kuwa historia zetu zinafuatilia maisha yetu na ya watoto wetu. Hali unayoipitia ina uhusiano mkubwa sana na maisha ya kiroho baina yenu na familia zenu (wewe na mkeo).

Kwa kuwa wewe ni Mkristo, jua ya kuwa kuzaa nje ya ndoa, always Kuna consequence kiroho. Kuzini kabla ya ndoa always Kuna consequences kiroho n.k. Hebu fikiria, ulimpenda >>>ukamtongoza>>akakupiga danadana lkn uka insist>>>akakukubalia>>>mkafanya ngono >>>akapata ujauzito >>>ukakubali kuwa utamuoa hivyo hivyo >>>ukaenda kutoa mahali >>>mkakaaa kipindi cha uchumba >>hatimaye kweli ukamuoa >>ghafla ukaanza kumchukia.

Mrudie Mungu kwa moyo wote, oba toba, na muombe Mungu aiponye ndoa yako kwa staili yake, maana wewe umeshafeli. Mwombe afute historia, maana hata mwanao (wajukuu) watakutana na tatizo hilohilo pia, kwa namna moja au nyingine.

Ukimwacha huyo mwanamke does not mean utakuwa na furaha. Rudi tu mbele za Mungu umwambie haya yote uliyoyaandika hapa, and be committed to him. After that, you will find a smooth way out.


Sent using Jamii Forums mobile app
thank
 
Comments za wanaume humu nimegundua K inawapelekesha sana kiasi kwamba hata akili ya kuwaza mambo mengine ya maana inastuck!

Jamani wanawake wenzangu tuvibanie hivi vitumbua vyetu kumbe ni almasi eeeh?

Haya mambulula full kuyapeleka peleka

Nota Bene:

Sipati picha ntakavyochambwa kwa hii comment ila poa tu coz sirudi tena kwenye huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan huu mda upo unakunywa? Jamaa we unaongozwa na akili ya pombe, usichukue maamuzi yoyote ukiwa umelewa au una hasira,
Utajutia maamuzi yako! Huenda hata hayo mafanikio yako kuna mchango mkubwa mno wa huyo mwanamke ambae Leo unamchukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
pombe si kitu ninachokipenda.bila kunywa kichwa kinapasuka kwa stess
 
I think I just married kwa sababu ya mwanangu..we got a baby before marriage
Hii mby sana, ni km Mimi nilikuwa na demu nampenda balaa akanizengua nkaanza kudate na mwingine, akanasa mimba, na kujisokomeza maxima. Moyo haumpendi km yule wa kwanza japo hatujafunga ndoa, akizengua tu kwaheri , ila sifungi ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezoea kusikia wanawake ndo wanasema maneno haya nashangaa kumbe hata wanaume.
 
Hivi Makonda ana mpango wa kualika wagane nao awasikilize? Tungeweza pia kucompare idadi ya wagane na wajane japo watakuwa wa Dar peke yake. Wanawake watatumalizia kaburini wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sheria kuu mbili tu katika ndoa kuoa mtu unayempenda au kumlenda mtu atakaye muoa....nawaza au nguvu ya limbwata imeshaanza kupungua au kuna mwanamke wa pembeni kwa sababu hawa hupelekea sana hilo... Nmeyashuhudia hayo

Chief
 
Mimi Elimu yangu darasa la saba Ila bro Wa degree 2 kuna kitu haujakijua bado mkeo unampenda na ukitaka kujua unampenda au humpendi ngoja siku ugundue kuna MTU anasex naye au akuambie tuachane na wewe ukafurahia kwa kupata fursa ya kuachana naye
Baada ya miezi isiyozidi sita utakuwa na mwanamke ambaye unampenda utagundua kitu .

Labda utuambie umegundua no mchawi,mshirikina ,Malaya ,hana msimamo yaani ni kigeugeu hapo utaweza niambia umemchoka tofauti na hapo unatafuta laana iliyojificha .
 
Back
Top Bottom