Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
hakikisha uwe unamnyonya mkund* wake kila siku. Then baada ya wiki tatu utaona unaanza kumpenda
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Nimekuombea nafasi hapa nyumbani kwa masista wa Consolata...

Hujapata unayempenda... ukimpata utatamani ulale naye mchana na usiku.... I tell you me...
 
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.....

"Enough of No Love"
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Umegundua lini kuwa humpendi mkeo????
 
mimi nina 5 years in marriage.,,,am 31 years old,,,I hate the dayear I tied the knot
Daaah,hata hivyo ulioa mapema sana,kama saiv una miaka 31 na una miaka 5 ya ndoa.wanashauri mwanaume aoe kuanzia miaka 30 mpk 35,umri huo hata anapochagua mke anakua na maamuzi sahihi.
Pole mkuu
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
hivi inakuaje unaanza kutokumpenda/kumchoka mtu?
ukihusisha moyo pekee inawezekana ila ukiweka na ubongo hapo sio rahisi sana.

ukiona unaanza kumchoka/kutokumpenda mume wako jipe likizo na safari ya miezi 2 au zaidi...
 
Wewe unataka umpate unayempenda alafu yeye hakupendi.. Nakuhakikishia utapata tabu sana, huyo ni wa kwako nadhani ukiulizwa sababu za msingi za kutompenda sidhani kama unaweza ukawa nazo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapata mwingine huyo, kuna jamaa mmoja hivi alikuwa anafanya kazi mikoani na ni mzaliwa wa hukohuko, sasa amekuja dar kujiendeleza kielimu na akapa chuo pale UDSM, yule mshikaji alijilaumu sana kwanini kaoa mapema, kisa eti UDSM kuna watoto wakali. Jamaa akatafuta visababu akamuacha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
mh
 
mimi nina 5 years in marriage.,,,am 31 years old,,,I hate the dayear I tied the knot
Ulioa mapema sana hata hivo,kama una umri wa 31yrs na ndoa yako ina miaka 5,ina maana ulioa na umri wa miaka 26,Wanashauri mwanaume tuoe kuanzia umri wa miaka 30-35,hapo unakua unauwezo wa kufanya maamuzi sahihi na kutulia.
Pole sana,muombe Mungu akufanye umpende
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Tabu unayoipata ni ipi? Hadi hapo nimeona tabu ni wewe mwenyewe mkuu.
 
Back
Top Bottom