Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile adhabu tulopewa edeni kila siku inazidi kuwa chungu.
 
Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
Haya ndio madhara ya kuolewa na waliokosa uanaume ndani yao.
 
Ahahah
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Karibu katika dini ya kweli islamu,ilo jambo dogo sana katika uislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom