Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,443
- 36,644
Kinachosikitisha nikwamba Rais amefungwa mikono,eti kina kibajaji na msukuma ndiyo wanakabidhiwa kuijadili na kutushauri serikali nini cha kufanya, daah 😔
Njoo vile TZ ifanane na US kimfumo Ila US sio TZMimi Huwa naishangaa jamhuri!!hivi Kuna nini huko jikoni has!?Kuna makubaliano gani hasta kati ya nyie na Rais aliepo madarakani!!?
Huwa mnamwachia nchi aiamue kama familia yake!!?hakuna mstari unaochorwa asivuke!!?
Sasa KAZI ya Cag ni nini!?mbona ripoti hazifanyiwi kazi!!?
Yaani Tatizo Huwa ni nini!!?
Kibajaji yule mchekeshaji wa Futuhi?Kinachosikitisha nikwamba Rais amefungwa mikono,eti kina kibajaji na msukuma ndiyo wanakabidhiwa kuijadili na kutushauri serikali nini cha kufanya, daah 😔
Ndiyo anaenda kuichambua bungeniKibajaji yule mchekeshaji wa Futuhi?
Ngoja nikae kimya tu maana kuna neno lilitaka kunitoka nikaona ngoja nijizuie nisije nikauzuia taharuki bure kesho Simba anachezaNdiyo anaenda kuichambua bungeni
Changeni hela hizo za NHIF wastaafu na wenza wao wakatibiwe bure,Assad alisema tuna bunge dhaifu,binafsi naona mihimili yoote ni taabani wanachojua no kulipana mahela na kupiga domo kumsifu prezda
Sio wote tumefubaa sema waliowengi wamefubaa.Kama tumefubaa si tutaendelea kuchezewa hivi hivi
😆😆😆😆Sio wote tumefubaa sema waliowengi wamefubaa.
Tuendelee kushuhudia maajabu kwa wenzetu. Juzi hapa Msenegali kachukua madaraka, hiyo yote ni sababu ya utayari wa wananchi kwenye kujikomboaSio wote tumefubaa sema waliowengi wamefubaa.
Tume yao ya Uchaguzi ni HURU KWELI KWELI haitaki Mchezo.Tuendelee kushuhudia maajabu kwa wenzetu. Juzi hapa Msenegali kachukua madaraka, hiyo yote ni sababu ya utayari wa wananchi kwenye kukikomboa
Hayo yote ni juhudi za wananchiTume yao ya Uchaguzi ni HURU KWELI KWELI haitaki Mchezo.
Sisi hapa ni AIBU tupu.
Noma kweli !Tume yao ya Uchaguzi ni HURU KWELI KWELI haitaki Mchezo.
Sisi hapa ni AIBU tupu.
Kweli kabisa.Hayo yote ni juhudi za wananchi
Kwa sababu hakuna anayekamatwa kwa kula fedha za umma kutokana na Report mbalimbali za huko nyuma mm nadhani CAG yuko sahihi kabisa kwa alichokifanya leo yaani kusifu tu kwamba wizi haupo,kwa sababu hata akisema huo wizi upo,ni nani atakaye fuatilia hakuna chochote kitachofanyika ni wastage of time tu.CAG amechagua upande ambao mama anaupenda nao ni wizi hakuna.Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua.
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti hiyo?
Acha waendelee kujitafunia mihela yetu ya bure watakavyo waendelee kutuongopea kwamba bado Nchi yetu ni Changa.
Tunawatakia Kila la heri katika ulaji huo wa Nchi.
Aibu kubwa sanaKwa sababu hakuna anayekamatwa kwa kula fedha za umma kutokana na Report mbalimbali za huko nyuma mm nadhani CAG yuko sahihi kabisa kwa alichokifanya leo yaani kusifu tu kwamba wizi haupo,kwa sababu hata akisema huo wizi upo,ni nani atakaye fuatilia hakuna chochote kitachofanyika ni wastage of time tu.CAG amechagua upande ambao mama anaupenda nao ni wizi hakuna.
Wanafalsafa wanatuambia: in the long run we’re all dead! Hiyo siku ya kuwajibishwa hao mafisadi itakuwa na maana endapo tulioshuhudia na kuathirika na maovu yao tutaiona. Nje ya hapo tutakuwa tumetapeliwa na kufanywa mazuzu wa karne.Matamanio ya walio wengi ni kuona wanaofanya au waliofanya ufujaji, ubadhirifu na ufisadi wa fedha za umma wanawajibishwa.
Iweke hii akilini kuwa "Jinai haina umauti". Ipo siku watafikiwa.
hivi huwa husikii,wapo waliokamatwa na kufikishwa mahakamani,pia ufahamu nchi inaendeshwa kwa kuzingatia sheria,hizo ni audit queries zinatakiwa majibu na serikali huzijibu,na ndipo tunapata zipi ni jinai,zipi ni uzembe na zipi ninafutwaIbaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua.
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti hiyo?
Acha waendelee kujitafunia mihela yetu ya bure watakavyo waendelee kutuongopea kwamba bado Nchi yetu ni Changa.
Tunawatakia Kila la heri katika ulaji huo wa Nchi.
Mimi naona wawe wanatumiana wao kwa wao tu hata kwenye simu zao.Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua.
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti hiyo?
Acha waendelee kujitafunia mihela yetu ya bure watakavyo waendelee kutuongopea kwamba bado Nchi yetu ni Changa.
Tunawatakia Kila la heri katika ulaji huo wa Nchi.
Ulisikia wapi?hivi huwa husikii,wapo waliokamatwa na kufikishwa mahakamani,pia ufahamu nchi inaendeshwa kwa kuzingatia sheria,hizo ni audit queries zinatakiwa majibu na serikali huzijibu,na ndipo tunapata zipi ni jinai,zipi ni uzembe na zipi ninafutwa