Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Wasiwasi wake ni nn sasa!
Wakati huo yuko bikra alikua mtoto mdogo maana wametoka nae mbali kipind yuko chuo bt now yuko benki na huko benki kuna watu wenye fedha zao ....ndo mana anahic lazma watu watamchukua
 
Pale Hawa alipomuacha Adam na kwenda bustanini kutembea/kubarizi, ndipo nyoka akapata nafasi ya kimrubuni Hawa nae akala "tunda la ujuzi wa mema na mabaya", tunda la kati kati ya bustani.

Ndoa za mbali zina changamoto sana, ila kazi/kipato ni muhimu sana. Watafute njia nzuri kwao ili ndoa ibaki salama.
 
Kinanishangaza kitu kimoja hapa, anawezaje kuishi na mke wake na huku hamuamini? Maajabu haya
 
Yaan mmekutana wote watoto mwanamke akiamua kutaka kuliwa analiwa hata kama upo nae na akiamua kutoliws hata akikwa mbali nae haliwi ebu acheni mambo zenu za kitoto na hiyo miwivu yenu kama imeshindikana uhamisho amuache aendelee na kazi
Wala sio utoto, sio wivu bali ni nature. Wanandoa wakiishi mbali ni sumu katika ndoa, ndoa nyingi zinakufa kwa sababu ya distance, duniani kote ipo hivyo, msimlaumu jamaa, anakuwa sceptical tu coz I bet anampenda mkewe.
 
Mwambie jamaa huyo dem lazma ataliwa tuu piga ua.hakunaga mpenz ya mbal trust mi,nikujilipua tuu,na ndo itakua chanzo cha mgogoro wa hyo ndoa,..askudanganye mtu hapa,..yaan dem huyo atajitahid mwanzon ila baadae watamla tu..tena unasema mkali.mamama
hua naamini hili kwa 100%
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Maisha ni kuchagua hivyo yeye ndo mwamuzi aache kazi alinde mkewe ama aende Dom huku nyuma achapiwe.
 
Mbona wife wake anatafunwa na jamaa wa kitengo cha IT!
Mwambie jamaa aripoti Dodoma tu hakuna namna. Kuna vimwana nao wametupwa huko wameacha wenzi wao Dar. Akienda nae huko mwisho wa siku atajilaumu.
 
Mbona wife wake anatafunwa na jamaa wa kitengo cha IT!
Mwambie jamaa aripoti Dodoma tu hakuna namna. Kuna vimwana nao wametupwa huko wameacha wenzi wao Dar. Akienda nae huko mwisho wa siku atajilaumu.
Duuu jamani ushauri mwingine sio vizur[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ni ushauri tu mkuu wala sio amri. Hahaha.
Kazi kweli mwenyewe akisoma hivi akiondoka hata kuwa anapata usingizi mke hachungwi na uzinzi ni tabia ya mtu hata mkiwa pamoja akiamua kucheat ata cheat tu[emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom