Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

akili finyu.,acha utoto na wivu mavi.........mwanamke akitaka kuliwa hata na house boy wako ataliwa tu.....tafuteni hela jipangeni kwa ajili ya watoto wenu na maendeleo yenu...mambo ya kuliwa ni tabia...
okay sawa ntamwambia
 
Lazima uchapiwe tu no way out ila karibu dom nitakuonesha machimbo ya kulipizia kisasi ila usiache kazi kwajili ya makuz mkuu naomba unitumie mawasiliano ya huyo shem wako nimpe somo asije anza kugegedwa na majamaa huko atakapo baki
 
Lazima uchapiwe tu no way out ila karibu dom nitakuonesha machimbo ya kulipizia kisasi ila usiache kazi kwajili ya makuz mkuu naomba unitumie mawasiliano ya huyo shem wako nimpe somo asije anza kugegedwa na majamaa huko atakapo baki
Ha ha ha ha machimbo ya kulipiza kisasi,,,ha ha nmejikuta nmekaa hapa malaika nimesoma hii comment nikacheka
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.
Kuajiriwa ni utumwa
 
Tutaweka treni ya umeme kutoka Dar saa kumi na moja kufika saa moja na ya jioni pia muwe mnafanya kazi Dom mnarudi kulala Dar,

ila kwasasa avumilie tu wamle kidogo,kwani hawaondoki nayo
 
Wachape kazi kugongewa na kugonga vipo tu muhimu heshima hata wote wawe dom mke akitaka kugongwa atagongwa tu hata akiwa dsm hataki kugongwa hatagongwa
 
Jiwazie na wewe!umejipangaje kukabiliana na watoto wa Dom,mi kwa research yangu isiyo rasmi mwanaume akiacha mke akatangulia pale huwa hawakumbuki kuleta mke/familia,badala yake anaanzisha familia mpya,wakazi wa mji huu wakarimu kupita kiasi,usipokuwa makini unaoa bila kutarajia.Waliowahi kuishi hapo watakuja.
 
Uzur huwez kumtuliza mwanamke bila mwenyewe kuamua kutulia,,,hakuna mwanaume kiboko ya mwanamke,wala huwez kumchunga maana wakiamua hao anaweza kuliwa wakat ww unaangalia mpira sebulen,na ukiona mume ana wasiwas sana ujue ndo tabia zake.. maana maandiko yanasema hatuoni vitu jinsi vilivyo bali sisi tulivyo... mlinz wa mwanaume siku zote ni mke so mwambie kipimo cha uadilifu na uaminifu ni hapo..

Wengine wenza wetu wapo nje mwaka wa nne lakin tunaona maisha saf tu,,dodoma tu anawayawaya???
Mnampa moyo tu huyo jamaa,
ukweli ni kwamba huyo mke kama hajielewagi
atachapwa sooner than latter
 
Back
Top Bottom