Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Mbona wife wake anatafunwa na jamaa wa kitengo cha IT!
Mwambie jamaa aripoti Dodoma tu hakuna namna. Kuna vimwana nao wametupwa huko wameacha wenzi wao Dar. Akienda nae huko mwisho wa siku atajilaumu.
Kwan kwenye mabenki na wenyewe huwa wanakulana...maana demu bank teller asa atapata wapi huo muda
 
Kazi kweli mwenyewe akisoma hivi akiondoka hata kuwa anapata usingizi mke hachungwi na uzinzi ni tabia ya mtu hata mkiwa pamoja akiamua kucheat ata cheat tu[emoji39] [emoji39]
Ni kweli kabisa mkuu. Mwanamke hachungwi kama mbuzi. Akiitaka ataifuata kwa mbinu zozote, hata Komando John na Rambo ni chamidoli kwa mwanamke mzinzi.
 
Kwan kwenye mabenki na wenyewe huwa wanakulana...maana demu bank teller asa atapata wapi huo muda
Huyo Demu bank teller anakuwa kazini masaa 24? Haya mambo mimi naongelea kwa mifano halisi na sio hadithi za kwenye vijiwe vya kahawa. Kuna mwanamke nilikuwa na mahusiano nae anafanya kazi Benki. Alikuwa anaomba ruhusa akiwa kazini kwamba anaenda hindu mandal mara moja. Anachomoka anakuja anapata dawa yake kutoka kwa Dr. Love then anarudi kazini au kama muda hauruhusu huwa ndio kimoja mpaka kesho. Ina maana hapo Kama ana Mume au hawara jamaa anajua ya kwamba mke wangu au hawara yangu yuko kazini. Mwanamke akiamua yake huwa ana mbinu hata kumshinda Komando John.
 
Kama ni mabazazi kumla, wanamla tu huku jamaa akiwa mujini hapohapo. Kama vipi aache kazi amlinde mkewe.
 
Huyo Demu bank teller anakuwa kazini masaa 24? Haya mambo mimi naongelea kwa mifano halisi na sio hadithi za kwenye vijiwe vya kahawa. Kuna mwanamke nilikuwa na mahusiano nae anafanya kazi Benki. Alikuwa anaomba ruhusa akiwa kazini kwamba anaenda hindu mandal mara moja. Anachomoka anakuja anapata dawa yake kutoka kwa Dr. Love then anarudi kazini au kama muda hauruhusu huwa ndio kimoja mpaka kesho. Ina maana hapo Kama ana Mume au hawara jamaa anajua ya kwamba mke wangu au hawara yangu yuko kazini. Mwanamke akiamua yake huwa ana mbinu hata kumshinda Komando John.
Duuh...hataare mkuu....
 
Daah.....aisee....alikua ni mke wa mtu au
Alikuwa hajaolewa, lakini alikuwa na mahusiano na mtu kama Boyfriend na Girlfriend. Mimi huwa situmii wake za watu mkuu....Yaani kwa kifupi ni Kama uende kumuuliza Sheikh Mkuu wa Tanzania ya kwamba "Nikutengenezee Rosti au Kavu" kwa Sauti ya juu. Wanawake ni wengi sana ulimwenguni. Ukiona mwenzako ametuma wazee wa kwao kuchumbia, akatoa mahali, akaitisha vikao vya harusi, akakusanya michango kwa masimango na matusi huku akitumia bodaboda, siku moja kabla ya harusi akagegedewa mke wake mtarajiwa, siku ya harusi akapakwa yomboo (Super black) kichwani kama lami ya Msata. Hakika mwanaume huyo ni shujaa na anastahili kuheshimiwa MKE wake mkuu.
 
kwani bombadia yetu si huwa una route ya Dar to Dodoma?
 
Ahahaa...
 
Hatimaye jamaaa anahamia dodoma next week
 
jamaa ameshahamia dodoma na sasa ana wasiswasi kua watu wanaanza kumla mke wake
 
Mwambie jamaa huyo dem lazma ataliwa tuu piga ua.hakunaga mpenz ya mbal trust mi,nikujilipua tuu,na ndo itakua chanzo cha mgogoro wa hyo ndoa,..askudanganye mtu hapa,..yaan dem huyo atajitahid mwanzon ila baadae watamla tu..tena unasema mkali.mamama
Siwez acha kaz kwa ajili ya mwanamke,kwan kuliwa nn musee,aliwe tu ila nisijue basi
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
AIGE KWA WACHAGA HICHO KITU SIMPLE TU WACHAGA HAWAOGOPI KUSAFIRI KIKAZI NA KUACHA MKE WANAANGALIA MAFANIKIO SUALA LA KUMEGWA KUTOKUMEGWA HALINA NAFASI SANA. CHA MSINGI KIPATO KIINGIE SABABU MWANAMKE KAMA NI WA KUMEGWA HATA UKIKAA NAE ATAMEGWA TUU NA HATA AKIAMUA KUHAMA NAE KAMA SIO MWAMINIFU BADO HAITASAIDIA
 
Oky sawa
 
Back
Top Bottom