Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Hivi, kwani yeye hawezi kumega wa wenzie huko aendako?
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Mlinzi Nipo, hiyo ndiyo shughuli yangu, mwambie mie nitamlindia mkewe asiwe na shida..
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Aende tu tujilie Hakuna namna nyingine. Ila mshauri tu, yote yanategemea stability ya mke wake, ata akienda nae Dodoma Kama wa kuliwa ataliwa tu.
 
Na mashaka na huyo mwanamke inaonekana s mtulivu au ndio yule anafanya pale tawi la city mlimani
 
Duuuh mkuuu umemjuaje.....ndo yeye aisee yupo tawi la mlimani city...ni bank teller pale mweupe hv na ana mwanya
 
Usimwambie mshikaji yule teyar Mara moja tu nilimramba pale lamada mpya[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Daahhh aiseer
 
Hatimaye yule ashaanza kuliwa huku na wanaume..
.jamaa hana amani
 
Hata sasa mbona anamegwa, ni kwamba tu hajafumania. Mwanamke akiamua kukusaliti umbali siyo hoja. Hivi huyo mwanaume anamufuatilia akienda sokoni? Kanisani? kwenye vicoba? misibani? etc. Kama hafuatilii na asihangaike.
 
Back
Top Bottom