Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

waachie tu wenyewe wamalize ama vip baki na uyo mke wa rafiki yako uweze kumlinda...asichipuke au unasemaje...
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Mwanamke yeyote ambaye kishaonja "dushe" akiingia siku zake na zikiisha huwa ana akshi sana, hachagui mtu, sasa mume wake amuache tu huko Dar ila akiona tu katoka mwezini(kamaliza bleed) aombe hata siku nne aende kumkaza.
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Kuwa karibu na Mke wake uwe unamfariji 😁😁
 
Back
Top Bottom