unataka yamkute kama ya kamanda.Ambaye ana mshahara mdogo amfuate mwenye mshahara mkubwa
Uzur huwez kumtuliza mwanamke bila mwenyewe kuamua kutulia,,,hakuna mwanaume kiboko ya mwanamke,wala huwez kumchunga maana wakiamua hao anaweza kuliwa wakat ww unaangalia mpira sebulen,na ukiona mume ana wasiwas sana ujue ndo tabia zake.. maana maandiko yanasema hatuoni vitu jinsi vilivyo bali sisi tulivyo... mlinz wa mwanaume siku zote ni mke so mwambie kipimo cha uadilifu na uaminifu ni hapo..Sawa....lakin unajua benki vishawishi vingi hivyo ndo mana anataka awe naye karibu
Duuhh...miaka 4Uzur huwez kumtuliza mwanamke bila mwenyewe kuamua kutulia,,,hakuna mwanaume kiboko ya mwanamke,wala huwez kumchunga maana wakiamua hao anaweza kuliwa wakat ww unaangalia mpira sebulen,na ukiona mume ana wasiwas sana ujue ndo tabia zake.. maana maandiko yanasema hatuoni vitu jinsi vilivyo bali sisi tulivyo... mlinz wa mwanaume siku zote ni mke so mwambie kipimo cha uadilifu na uaminifu ni hapo..
Wengine wenza wetu wapo nje mwaka wa nne lakin tunaona maisha saf tu,,dodoma tu anawayawaya???
Kamanda yupi mkuuunataka yamkute kama ya kamanda.
kamanda wa joyce kiria.Kamanda yupi mkuu
Ahahaaaakamanda wa joyce kiria.
Ukijitambua ni rahis tu,ila hapa dom unaenda na kurud halaf unaogopaDuuhh...miaka 4
Habarini wadau...nina rafiki yangu anahamia dodoma sasa mke wake yupo benki hapa dar es salaam khy anataka kumuhamishia huko dodoma tatizo nafasi kwenye hyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha dar watu wanaweza kuanza kumla...sasa afanye mana amejaribu kuulizia uhamisho imekua ngumu
Akija kumuona anazawadiwa mtoto au sioKampuni yetu inahusika na kulea wake za watu ambao wanafanya kazi nje ya DSM.. Tuwasliane ila kuja kumwona ni baada ya miezi 9 yaani tisa.
Huyo ameshakuwa chakula yetu tu! Mweleze aende Dodoma apambane na hali yake. Na sie tujinafasi kwa raha zetuOky ila mtoto yuko benki afu wa ukwelii
Kwa vile wewe ni rafiki yake msaidie huyo mke. Kuliwa ataliwa tu hata kama wako ofisi moja.Habarini wadau...nina rafiki yangu anahamia dodoma sasa mke wake yupo benki hapa dar es salaam khy anataka kumuhamishia huko dodoma tatizo nafasi kwenye hyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha dar watu wanaweza kuanza kumla...sasa afanye mana amejaribu kuulizia uhamisho imekua ngumu
Mkuu pole sana japo umetumia kivuli cha mtu mwingine lkn nakupa pole,vumilia tu ikibidi acha kazi au yeye aache akufate wewe.Habarini wadau...nina rafiki yangu anahamia dodoma sasa mke wake yupo benki hapa dar es salaam khy anataka kumuhamishia huko dodoma tatizo nafasi kwenye hyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha dar watu wanaweza kuanza kumla...sasa afanye mana amejaribu kuulizia uhamisho imekua ngumu