Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,246
- 93,767
Hamnaga nguvu ktk umbali .
At first atajitahidi kuvumilia ,,ila amin nakuambia ,,Wanawake wako Horny sana ,muda wowote yeye anapandwa nahamu ya kugongana . alafu naww upon mbali.
At first atavumilia ,ila wahuni wakishajua umehama ,,wakaanza usumbufu ,ataliwa tu.
Kugongewa mwanamke unayeishi naye nyumba moja ,huwa ninadra ,,,ila kugongewa mwanamke mnayeishi naye mbali au muda wote unasafiri nirahisi km kunywa maji.
Asikudanganye MTU ,,umbali unauua mapenzi ,nandoa .,umbali ndochanzo cha kulea mtoto asokua wako.
Nimwanamke amchaye Mungu tuuuuuu ,ndio ataona umbali nichangamoto yakuivumilia ...Lkn hawa wanywa pombe ,ambao baada yakazi wanaitaji "Kupumzishwa" hamna kitu.
Inahitajika Akili yaziada na vitu vyaziada ambavyo Jamaa anatakiwa avifanye ,ili mkewe kila siku asijihisi amepungukiwa.