Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Nasikia ata kairuki ni waziri lakini mumewe kapewa ubalozi nje ya Tanzania na anaishi uko
Sasa jiulize kinachoendelea
Hahaha
 
Habarini wadau...nina rafiki yangu anahamia dodoma sasa mke wake yupo benki hapa dar es salaam khy anataka kumuhamishia huko dodoma tatizo nafasi kwenye hyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha dar watu wanaweza kuanza kumla...sasa afanye mana amejaribu kuulizia uhamisho imekua ngumu

Mbona analiwa na Supervisor wake muda mrefu tu! Jamaa ndo ananunua lunch kila siku. Na kuna mteja mmoja wa benki ana milioni 500 kwenye akaunti yake demu alimshobokea mwenyewe na yeye anapiga mzigo.
 
Mwambie ata mm mke kaamia Dodoma mm kaniacha Dar tubadilishane tu ila nna mbaya kupitiliza mida ya kula tunda uwa navuta hisia avata ya Shunie
 
Siku zote, pesa ni tamu kuliko penzi. Na aende tu, treni ya mwendo kasi ikianza mwakani itakuwa rahisi kutembeleana.
 
Yaaani changamoto sana!

Kuna siku mwanamke anajisikia kutaka mechi Kali!
Halafu haupo!

Dom usiku baridi sana ,halafu kuna warangi na wasandawi warembo balaaaa!

Yaani hapa nami nawaza ,jamaa yangu anahamia huko ,sijui itakuaje anasema mie nibaki kwanza na watoto, sijui hizi genye za utu uzima ntafanyaje jamani!

Mie sio mlevi ,ila nna nyege hatari!
Labda niwe naota!

Kama ni mtoto mkali asimwacheeee!
 
Habarini wadau...nina rafiki yangu anahamia dodoma sasa mke wake yupo benki hapa dar es salaam khy anataka kumuhamishia huko dodoma tatizo nafasi kwenye hyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha dar watu wanaweza kuanza kumla...sasa afanye mana amejaribu kuulizia uhamisho imekua ngumu
aondoke na K ya mke wake....
 
Mimi nahamia Dar, mke wangu anabaki Dodoma.
Ebu nipe namba ya huyo rafiki yako ili tuone namna ya kufanya....
 
Habarini wadau...nina rafiki yangu anahamia dodoma sasa mke wake yupo benki hapa dar es salaam khy anataka kumuhamishia huko dodoma tatizo nafasi kwenye hyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha dar watu wanaweza kuanza kumla...sasa afanye mana amejaribu kuulizia uhamisho imekua ngumu
Achague kazi au ndoa kama anachugua kazi awaachie tuu wanaume wa Dar waendelee naye au vinginevyo
 
Yaaani changamoto sana!

Kuna siku mwanamke anajisikia kutaka mechi Kali!
Halafu haupo!

Dom usiku baridi sana ,halafu kuna warangi na wasandawi warembo balaaaa!

Yaani hapa nami nawaza ,jamaa yangu anahamia huko ,sijui itakuaje anasema mie nibaki kwanza na watoto, sijui hizi genye za utu uzima ntafanyaje jamani!

Mie sio mlevi ,ila nna nyege hatari!
Labda niwe naota!

Kama ni mtoto mkali asimwacheeee!
Na wewe mume wako yuko dodoma?
 
Sawa....lakin unajua benki vishawishi vingi hivyo ndo mana anataka awe naye karibu
Kwenye swala la utafutaji ukiingiza hofu ya kusalitiwa lazima ufeli tu.Nadhani ni wewe mwenyewe ila mi binafsi cha kwanza pesa tafuta Hera mkuu
 
Daah sasa huyu mke wake wametoka naye mbali ndo mana anaogopa kusalitiwa
 
Hivi inakuwaje mtu mmekutana ukubwani unamwonea wivu kiasi cha kumnusa hata akitoka msalani?? Mambo ingine naona ni ujuha tu. Kwa hiyo akiwa hapo dar huwa anaifungia kwa kufuli asubuhi na kuifungua jioni arudipo kazini?? Mwambie, hakuna majitu mabaya kama mameneja na ma directors wa maofisi makubwa. Humo humo ofisini during Tea time na Lunch time.
 
Mwambie apunguze uoga maisha yako mbio aache mawazo ya kumegewa kisa kaenda Dom kama mkewe ni jambazi basi hata akiwa hapo Dar wahuni watamla tu.
Mwambie anamegawa hata sasa Dodoma sio sabb
 
Back
Top Bottom