kakasu
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 235
- 151
Mkuu mi niko nchi za watu huku naweza kaa hata miezi sita au mitatu bila kuludi na siwekei akilini swala la kuibiwa. naangalilia mipango yangu, huwezi mchunga binadamu mwinzio hata kama mnalala kitanda kimojaDaah sasa huyu mke wake wametoka naye mbali ndo mana anaogopa kusalitiwa