Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Mbona mangi anaacha mkewe kijijini anaenda mjini kutafuta Maisha?
 
hua naamini hili kwa 100%
Hahahah yani mwanamke ni kama mbuzi ukimuachia uhuru lazma ale mboga za watu tu. Ukiwa karibu ni kama umeshikilia kamba yake anakuwa alert kuwa kuna some kind of monitoring.
 
Huyo Demu bank teller anakuwa kazini masaa 24? Haya mambo mimi naongelea kwa mifano halisi na sio hadithi za kwenye vijiwe vya kahawa. Kuna mwanamke nilikuwa na mahusiano nae anafanya kazi Benki. Alikuwa anaomba ruhusa akiwa kazini kwamba anaenda hindu mandal mara moja. Anachomoka anakuja anapata dawa yake kutoka kwa Dr. Love then anarudi kazini au kama muda hauruhusu huwa ndio kimoja mpaka kesho. Ina maana hapo Kama ana Mume au hawara jamaa anajua ya kwamba mke wangu au hawara yangu yuko kazini. Mwanamke akiamua yake huwa ana mbinu hata kumshinda Komando John.
Tena bora awe mama wa nyumbani, uta monitor movement zake kirahisi kuliko hawa wa kazini. Maana akitoka asubuhi unajua yupo kazini, kumbe anawahi kutoka before time lets say saa 8 instead ya saa 10 kwa kisingizio chochote tu anaenda kuvunjiwa nazi mpaka saa moja jioni. Hapo akirudi home miguu haifai unajua mke kachoka na kazi kumbe kapigwa miti balaa. Ukiomba gemu mtoto anakuwa mkali kama pilipili, mtoto kalala shahawa zinamchuruzika tu, hii nilishashuhudia aisee usiombe kuchapiwa wazee. Wanawake tunawapendaga basi tu!
 
Duuh pole sana kumbe yalishawah kukutokea
 
Hahahah yani mwanamke ni kama mbuzi ukimuachia uhuru lazma ale mboga za watu tu. Ukiwa karibu ni kama umeshikilia kamba yake anakuwa alert kuwa kuna some kind of monitoring.
Yaan jamaa hana raha kila wakat simu
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Trust me long distance relationship haiwork...na hivi watu ckuhizi kuchepuka kumekuwa kitu cha kawaida sana...inasikitisha sana.
 
Hiyo ipo tu, hata wakimla itabaki. Mwambie jamaa akafanye kazi.
 
Tena bora awe mama wa nyumbani, uta monitor movement zake kirahisi kuliko hawa wa kazini. Maana akitoka asubuhi unajua yupo kazini, kumbe anawahi kutoka before time lets say saa 8 instead ya saa 10 kwa kisingizio chochote tu anaenda kuvunjiwa nazi mpaka saa moja jioni. Hapo akirudi home miguu haifai unajua mke kachoka na kazi kumbe kapigwa miti balaa. Ukiomba gemu mtoto anakuwa mkali kama pilipili, mtoto kalala shahawa zinamchuruzika tu, hii nilishashuhudia aisee usiombe kuchapiwa wazee. Wanawake tunawapendaga basi tu!
Kabisa mkuu!
Ni shughuli pevu sana. Haswa zama hizi naona kama speed ya Wake za watu kupigwa Oil change imeongezeka kwa kasi sana mkuu. Sijui tatizo ni nini haswa!?
 
Kwani akifuatana nae huko Dodoma ndiyo atakuwa aliwi au?
 
Duuh pole sana kumbe yalishawah kukutokea
Mkuu hata staki kukumbuka, kama kuna kitu kingenipeleka jela ni ile hasira ilikuwa inafukuta ndani ya nafsi yangu. Impact yake ingekuwa ni zaidi ya matarajio ya jamii!
 
Kabisa mkuu!
Ni shughuli pevu sana. Haswa zama hizi naona kama speed ya Wake za watu kupigwa Oil change imeongezeka kwa kasi sana mkuu. Sijui tatizo ni nini haswa!?
Ndio mtindo wa kisasa, till date siwezi kumuamini mwanamke hata kwa sekunde 2! Zaidi ni kuhudumiana, ajihudumie kwa kila kity mkataba wangu na yeye ni kupunguzana nyege tu bila gharama yoyote ya kifedha!
 
Yaan jamaa hana raha kila wakat simu
Kutombewa mkewe ni pie. Tena wanawake wenyewe ndio hawa wa Dar wasiojiheshimu kabisa, papuchi zao ni simple kuzipiga sana ukiwa mtanashati na una vyombo!
 
Ni wivu au hataki kugongewa? , siku akifa atakufa na mkewe kwa pamoja? Mbona kuna Mabalozi wako nje ya Nchi huku Wake zao wakiwa hapa Nchini? huu ni wivu wa kike, Mwanamke akiamua kwenda kinyume anaenda hata kama unamla kila Sekunde au dakika! Aende afanye kazi, mke yupo atamkuta.
 
Fursa kwako mkuu, mshauri aende dodoma tu. Ili ww ubaki mjini ujilie huyo wife freely
 
Back
Top Bottom