Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Hahahah yani mwanamke ni kama mbuzi ukimuachia uhuru lazima ale mboga za watu tu. Ukiwa karibu ni kama umeshikilia kamba yake anakuwa alert kuwa kuna some kind of monitoring.
Nimejikuta nacheka Sana. Yaani Mkuu umeamua kutufananisha na mbuzi wanaokula majani....... Dahhh.....
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje

Inawezekana wote wapo dar na bado huyo Bibie analiwa, wanawake ndugu zangu ndo hao hao tu! hawana maana kabisa
 
Hakuna namna brow jipe moyo ila yatayofata nyuma yanafurahisha
Kiukwel kama mke wako bado masharaha utagongewa tuu (especially anafanya kazi ) uvumulivu wake mwisho miez 6
La mcng usizngatie hayo mkuu kafanye kazi alafu tupia mtego katk smartphone yake uone madudu
 
ushauli mmoja kati yenu awe mjasiliamali lasivyo tuna litamegwa nawewe utamega
 
Nimekuja kugundua wengi humu wanao comments wengi na wahuni na Ni mabachela wengi wao hawajui nini maana ya mke au mume ndo maana wengi wanacomment kirahisi rahisi tu. Naomba Ni wajuze mabachela wote humu kuwa mke/ mume syo girlfriend/boyfriend so msichukulie mambo ya mke na mume kimasihara hapo tunaongelea familia sio ile mnakula chips mayai kla mtu anaenda kwao.
 
Hakuna namna brow jipe moyo ila yatayofata nyuma yanafurahisha
Kiukwel kama mke wako bado masharaha utagongewa tuu (especially anafanya kazi ) uvumulivu wake mwisho miez 6
La mcng usizngatie hayo mkuu kafanye kazi alafu tupia mtego katk smartphone yake uone madudu
Khy aanze ku mtrack
 
Nimekuja kugundua wengi humu wanao comments wengi na wahuni na Ni mabachela wengi wao hawajui nini maana ya mke au mume ndo maana wengi wanacomment kirahisi rahisi tu. Naomba Ni wajuze mabachela wote humu kuwa mke/ mume syo girlfriend/boyfriend so msichukulie mambo ya mke na mume kimasihara hapo tunaongelea familia sio ile mnakula chips mayai kla mtu anaenda kwao.
Yaah aisee maana jamaa kila wiki anarud dar asa anachoka
 
Back
Top Bottom