Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri huu hapa: 1. mmoja hapo inabidi aache kazi,hasa mwenye pato dogo na mwenye kazi isiyokuwa na future 2.Aliyeacha kazi atafute kazi/afanye biashara ambayo iko karibu na mwenzi wake.
 
Kwani akihama naye ndio hataliwa? Kuliwa ni kutoliwa ni maamuzi ya muhusika.
 
Aache uboya uyo jamaa, aende dom akapige kaz kila kitu kina nafas na wakat wake.. au kavp aache kaz afu aone kitakachomkuta
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Yeye aende mke abaki km ana msimamo basi mke anaweza kutulia
 
Sawa....lakin unajua benki vishawishi vingi hivyo ndo mana anataka awe naye karibu
Kwa dar hakuna ukarbu wowote, mtu anatoka nyumban saa 12 kurudi saa 3 usiku hiyo ni january to dec. sasa ukarbu uko wapi, jpili maombi.
 
hii rahisi, ahakikishe miezi hii iliyobaki anampa ujauzito ili akiwa dom ni mwendo wa kulea mimba tu
 
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje

HIV Epidemic in Tanzania: The Possible Role of the Key Populations : Figure 1

HIV PREVALENCE AMONG ADULTS BY REGION IN TANZANIA (2017)

Huyo mke wa rafiki yako anatarajiwa kufahamu kuwa hata huko Dodoma hali si hali..... Cheki link hapo juu.
 
Back
Top Bottom