Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Waachie mzigo wanaume wa Dar wale kwa utuo. Moja ya sifa yao kubwa ni kukuata m.a.r.i.n.d.a Wake za Watu.
 
Jua kuna CCTv na sisTv zote zpo tz
Kuna kifaa kimoja huwa wanakitumia wamiliki wa tax kujua route za dereva wake na kujua mahali alipo , akimfungia shingoni mke wake atakua amemdhibiti( changamsha kijiwe,don panic)
 
Sawa....lakin unajua benki vishawishi vingi hivyo ndo mana anataka awe naye karibu
Kwani sasa hivi huwa anashinda nae huko benki?
Basi amfute kazi kama ndio hivyo ushauri wa nini sasa.
 
Sema tu ni wewe mwenyewe ili usaidiwe zaidi. Hizi ID fake ni noma sana. Ushauri Wangu tafuta kwanza maisha. Mkeo ni mkeo tu hata wakimla.
 
Sema tu ni wewe mwenyewe ili usaidiwe zaidi. Hizi ID fake ni noma sana. Ushauri Wangu tafuta kwanza maisha. Mkeo ni mkeo tu hata wakimla.
Hapo ulivyomalizia... inaleta ukakasi sana.
 
Kwan akiwa nae huko ndo hawez kuliwa? Mwambie hivi

Mwanamke hatulii mpka aamue kutulia.

Mwanaume hatulii mpk atulizwe... kuliwa au kutokuliwa ni maamuz ya mliwaji mwenyewe
mfuasi wa Dr Ellie
 
Ushauri ni huu. Kama huyo unaye sema ni mkewe ni wa ndoa na wanaishi ndani ya ndoa then hakijaharibika kitu.

Mwambie huu ndio muda muafaka wa kupata nae mtoto, majukumu ya kuwa mama husaidia kumtoa mwanamke haja ya kurandaranda na pia wanaume huingiwa na kinyaa kwa mwanamke mwenye mtoto tayari......

Hivyo jamaa azungumze na mkewe kuhusu kupata mtoto na waweze kupata mtoto ndani ya muda mfupi ujao.

Na wasiishie m'moja bali hadi watatu. Hiyo taasisi wataona umuhimu wa kumpa transfer huyo dada mara tu atakapokuwa amepata familia....
 
Back
Top Bottom