mwena
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 649
- 419
Epuka kupiga piga watoto pasipo sababu za msingi kisa tu wanapigana, hiyo ni hali ya kawaida kwa watoto. Hasa mdogo anapenda kuonesha ubabe kwani anajua mkubwa anapendelewa. Ukiwapa kibano kwa style huyo utawafanya wawe wakorofi na watakusumbua hadi utajuta kuwazaa. Lamsingi ni kuwakanya na mda mwngine unajifanya km huwaoni vile. Tuache ubabe wa wazazi wetu walivyokua wanatutolea hasira kitu kidogo tu kibano. Tulee watoto wetu kama wasomi na watu tulioelimika
