Aya mkuu ngoja tuliowashamba kuogelea tukae pembeniWatoto wadogo kabisa wanaogelea mkuu
Mkuu umenifanya nicheke kwa huzuni, Malezi ya kizazi cha sasa ni tofauti na zamani.Watoto wanaopigana mbele ya baba yao baadae kuna uwezekano mkubwa wakawa na tabia zinazopishana na jamii ya wastaarabu. Mtoto anapigana na mwenzake huku babake akishuhudia na kuwapigia makofi huyo ni sawa na mtoto asiye na baba tu.
looohhhWatoto wanaopigana mbele ya baba yao baadae kuna uwezekano mkubwa wakawa na tabia zinazopishana na jamii ya wastaarabu. Mtoto anapigana na mwenzake huku babake akishuhudia na kuwapigia makofi huyo ni sawa na mtoto asiye na baba tu.
Nimejikuta na furahii kwa jinsi unavyosimulia....ila usiwaze mama watoto,watakuja penda kupenda hao wanaoHabari za weekend wapendwa,
Natumai mambo yanaenda sawa na mnapata mda wa kupumzika na familia zenu mwisho wa wiki kama huu.
Nina watoto wawili wa kiume. Wa kwanza miaka 4 na wa pili miaka 2. Ni watundu sanaaaa na silalamiki kuhusu utundu wao because I saw it coming.
Tatizo ni kwamba wanadundana aisee. Huwa najitahidi kuweka balance kati yao katika kila kitu lakini wapi. Kitu kidogo tu hao. Sipendi kabisa hali hii na sometime huwa nawakung'uta lakini I just end up feeling guilty.
Najitahidi kuwanunulia same toys lakini huyu mdogo haipitagi siku mbili unamkuta na screwdriver keshalibomoa la kwake. Halafu anachukua la kaka yake anataka alifumue na la kwake. Baada ya hapo sijui anataka alifanyie panel beating?
Wa kwanza ni mpole flani. Ana huruma sana na anajua namna ya kumtuliza mwenzie by turning it all into a new game. Lakini akiwa fed up ama akihisi kuonewa ngumi zinaanza. Baba yao wala haimuumizi. Anajibu, 'Yes! Vidume hivyo acha vidundane' and it makes me feels like eating him alive.😱
I love my sons very very much and I hate to see them fight. I want them to love each other deeply. To be friends as well as brothers. To always take care of each other and have each others back.
What shall I do? What I'm I doing wrong?
Mkuu umenifanya nicheke kwa huzuni, Malezi ya kizazi cha sasa ni tofauti na zamani.
Wazazi wa sasa wanaishi kihunihuni sana kwa kuzani ndiko kuishi kisasa.
Nakumbuka tukiwa wadogo ilikuwa balsa yaani mtu anayeitwa baba daaah kwanza akirudi tu Nyumba yote kimya watu tunakimbizana kwenda kuoga tuwe wasafi maana tutambulia fimbo ile ilitufanya kutambua kwa haraka vitu vipi mzazi havipendi
Siku hizi sio ajabu kuona mzazi na mtoto wanabishana kwa kujibizana.
Maadili mabovu yanachangiwa na wazazi wenyewe.
Ndo mana Walimu wanapewa zigo kubwa sana hawaeshimiwi na wanafunzi wakitaka kuwapiga kwa lengo la kuwaonya wazazi wanakuja juu dah
Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Tatizo watoto wa siku hizi unakuta baba yao yupo kama shoga unadhani baadae mtoto atakuwaje? Huyu mleta mada mme wake ni mpumbavu na hana akili kabisa na ipo siku hao watoto watakuja kumgeuka na kumuabisha. Tatizo la kizazi cha sasa kinafikiri uzungu ndo kumuachia mtoto, filamu za kina wema sepetu zimwaaribu akili. Siku moja nilikuwa maeneo fulani nikaona mtoto wa miaka miwili amenyolewa kiduku na babake naye yupo hivyo, nikajisemea tu kwamba huyu mtoto amekosa baba kabisa.
Nilikuwa napata taabu kumuita kaka yangu "kaka" daah, tunadundana ila ni must kumuita kaka na ni lazima kumuamkia "shikamoo kaka" tukiamka asubuhi. Basi anaitikia kwa misifaaa, nachukia hatari.kawaida na Mara nyingi mdogo ndo anakuwaga mtata
wa kwangu ni wanawake Ila wanapigana balaa
kumepooza sna hmu ndanMguu, leo umeamua kufukua thread zangu zote?
watoto wameach utndu eeBasi sawa.
Pia uhakika wa kupelekwa hospital wakiumizanaSi wana uhakika wa kwenda qa choo bhana qann wasizipige