Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

ulivosema "vidume vyako" mi nikahisi enhee tayari kushanuka!
 
Habari za weekend wapendwa. Natumai mambo yanaenda sawa na mnapata mda wa kupumzika na familia zenu mwisho wa wiki kama huu.

Nina watoto wawili wa kiume. Wa kwanza miaka 4 na wa pili miaka 2. Ni watundu sanaaaa na silalamiki kuhusu utundu wao because I saw it coming. Hahaa.

Tatizo ni kwamba wanadundana aisee. Huwa najitahidi kuweka balance kati yao katika kila kitu lakini wapi. Kitu kidogo tu haooo. Sipendi kabisa hali hii na sometime huwa nawakung'uta lakini I just end up feeling guilty.

Najitahidi kuwanunulia same toys lakini huyu mdogo haipitagi siku mbili unamkuta na screwdriver keshalibomoa la kwake. Halafu anachukua la kaka yake anataka alifumue na la kwake. Baada ya hapo sijui anataka alifanyie panel beating??


Wa kwanza ni mpole flani. Ana huruma sana na anajua namna ya kumtuliza mwenzie by turning it all into a new game. Lakini akiwa fed up ama akihisi kuonewa ngumi zinaanza.

Baba yao wala haimuumizi. Anajibu, 'Yeeeees!! Vidume hivyo acha vidundane' and it makes me feels like eating him alive.😱


I love my sons very very much and I hate to see them fight. I want them to love each other deeply. To be friends as well as brothers. To always take care of each other and have each others back.

What shall I do? What I'm I doing wrong??
Naam, wanajenga mapenzi na kila mmoja hapo anajuwa yupo safe kwa mwenzake.

Wacha wapigane.
 
Mwingine mpeleke boarding school ili kuondoa usumbufu wa kupigana.
 
Yaaani mimi hadi leo, tunaongea vizuri tukiwa mbali coz ni tupo mikoa tofauti ila tukikutana likizo tunakinukisha hata kwa jambo dogo tu
Lol. Serious?
 
Panga tena?

mie dogo kanishikia sana panga hadi nilipotoka kwenda shule ya bweni kidato cha tano naye shule ya bweni 'o level' uzuri ratiba zetu za likizo zilipishana hapo akaanza kunimis.
Chuo ndo nikaenda mbali zaidi na miaka minne yote bila kuonana naye nilivyorudi tukaja kuwa zaidi ya marafiki na uzuri tumefanana yaani hadi wazazi hawaamini kama ni sisi.


Cha msingi angalia tuu wasiumizane ila ni kawaida sana kwa watu waliofuatana sijui kisayansi ama kisaikolojia inasababishwa na nini ila naona ni "common case"
 
Huko kupatana ndo nakutaka
Ata wasikusumbue watapatana tu hao ni ndugu! Labda km ulichepuka ukaleta mbegu yenye character tofauti hapo kwa mzee nani...!

Fanya kitu kimoja mfundishe huyo mkubwa kuadabisha huyo dogo kwa upendo akipigwa kibao kikubwa anaye anarudisha ila kidogo cha kufundisha afu huyo mdogo akilia usingilie mwache alie baada muda ananyamaza bila ata kumpa pole mwishowe atashika adabu kwa brother na heshima itakuwa mbele urafiki utatamalaki na upendo bashasha.
 
Ulimwengu wao ukotofauti sana na unavofikiri, cha kuangalia tuu usichoose side hata mara moja jaribu kuwa fair kwa wote, hii itabackfire huko mbeleni wakiwa Watu wazima but in the other side hii ni njia nyingine kwa boys kubond as brothers hii inaleta furaha sana watakapo kuwa wamekuwa and wanaanza kuhadisiana walivokuwa watundu na jinsi walivokuwa wanamsumbua mama yao kipenzi..............''WAHENGA WANASEAMA KUZAA SIO KAZI KAZI NI KULEA''
Am hoping its sooner rather than later
 
Kawaida sana at that age.
It will reach a point watakuwa kitu kimoja Mwenyewe utashangaa.
It used to happen mimi na my Bro..
Dah. Iwe soon mkuu
 
Watafutie mchezo wa kushindana
kuogelea hivi....
wawe wanashindana.....itawasaidia sana..

Na usisahau pia mdogo amheshimu mkubwa

First born apewe heshima yake toka mapema
itawasaidia wakikua wakubwa
mdogo hata afanyeje ajue kaka yake ni kaka yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom