Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

Nothing wrong.That's the way they need to grow up and they will let it go off automatically when the time come.
It's like two herds in the same house.Wanasema mafahari wawili.....
Kwa hiyo usitumie nguvu sana.Things will come in the right track.
 
Mmoja atakuwa kafikisha mitano sasa mwingine mi tatu.

Anza kuficha vifaa vyenye ncha kali, na kama baba anaslaha aanze kuziweka mbaaali.

Pia

Hapo kama mama unaweza jua undani wa mumeo kupitia wanao, yaani hiyo ni tafasiri jinsi gani alovo yeye kiundani
 
Kwani Baba yao yupo au unawalea mwenyewe..!?!
 
Mimi npo n dada n mdogo wangu it means npo kati ilikua kila siku ngumi sister n young brother wananichangia Ila wanachokipata Mungu ndo anajua. To the moment n best friends
 
Acha bwana wadundane izo ni stage tu katika ukuaji,

Nakumbuka nilizidunda sana na bro wangu enzi izo, silaha kama mwiko, vijiko zilihusika sana.. mwisho wa siku tukaacha na tunaheshimiana vizuri tu

Ni kawaida yetu mama wala usijali
 
watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha

Umesha nitisha! Kumbe wewe ni bondia ‍♂️‍♂️
 
Mi vya kwangu dume na jike vinadundana mbona, watoto wanaofuatan ndo walivyo. Ila weka kapicha wakiwa wanadundana tuone
 
Singo moms you are very proud aisee..unajua wanapigana tatizo ni wa baba tofauti so wanaona mayb they dont belong
 
Singo moms you are very proud aisee..unajua wanapigana tatizo ni wa baba tofauti so wanaona mayb they dont belong
Find another theory hun.

I am a happily married woman with two kids.

I am proud of my status and I respect single mothers as well.

Honestly I wouldn't know how to raise my kids alone without my beloved husband.
 
Mmmh Karucee wa kwangu nao wameanza vita

Kuna muda inabidi nitafute sehemu twende angalau waone aibu.

Mvulana anampiga sana dada yake hadi huruma.

Dada naye akipata chance anamdunda na chochote.
Yaani nyumba imekuwa uwanja wa masumbwi
 
Zaa vijike
Huwa sichagui na si prefer sex ya mtoto.

Na ndo maana hata sifanyagi Ultrasound kuangalia ana jinsia gani.

I always take my pregnancies as a gift from the Almighty and therefore every child is a blessing to me.
 
Mmmh Karucee wa kwangu nao wameanza vita

Kuna muda inabidi nitafute sehemu twende angalau waone aibu.

Mvulana anampiga sana dada yake hadi huruma.

Dada naye akipata chance anamdunda na chochote.
Yaani nyumba imekuwa uwanja wa masumbwi

Sipendi kabisa watoto wangu wakipigana. It breaks my heart yaani inanipaga mawazo mpaka usiku.

Nawaza hivi hawa wasipopendana, siku tukiwaacha wataishije. Sipendi kabisa aisee. That's why natafuta lasting solution.
 
Acha bwana wadundane izo ni stage tu katika ukuaji,

Nakumbuka nilizidunda sana na bro wangu enzi izo, silaha kama mwiko, vijiko zilihusika sana.. mwisho wa siku tukaacha na tunaheshimiana vizuri tu

Ni kawaida yetu mama wala usijali
At least you give me hope.

I just hope its sooner rather than later.
 
Sipendi kabisa watoto wangu wakipigana. It breaks my heart yaani inanipaga mawazo mpaka usiku.

Nawaza hivi hawa wasipopendana, siku tukiwaacha wataishije. Sipendi kabisa aisee. That's why natafuta lasting solution.
Hehe polee.. lkn ni hivyo uwa kipindi kinafika na ngumi zinaisha. Kwani wewe umezaliwa pekeako? Maana kama una dada au kaka kupigana lazima
At least you give me hope.

I just hope its sooner rather than later.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom