Kuogelea? Watoto wadogo wakaogelee mmmhI will try this. Kaka ni mpole flani amazing. Very loving.
Pia wazazi waombeeni watoto wakabidhini mikononi mwa BWANA ili wakue salama bila madhara yoyote mana shetani anapitiaga humo mnamoita utundu kuangamizaYaani hizo ngumi tu ndo zinanichocha. Wangu ni watundu naturally and I know they got it from me.
I was between a sister and brother. The same thing was happening.watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha
remind me of me and my young bro..Tulichapana sana back in the days,as usual mdogo ndo uwa mkorofi ilifika time I used to hate him usipokua kuwa makini they will end up hating each other hata ukubwana mi nakupa real experience.Ukitaka kuwawin at the age of 10 mmoja peleka boarding school mwingine back nae..They will surely miss each other na ugomvi finally utaishaHabari za weekend wapendwa,
Natumai mambo yanaenda sawa na mnapata mda wa kupumzika na familia zenu mwisho wa wiki kama huu.
Nina watoto wawili wa kiume. Wa kwanza miaka 4 na wa pili miaka 2. Ni watundu sanaaaa na silalamiki kuhusu utundu wao because I saw it coming.
Tatizo ni kwamba wanadundana aisee. Huwa najitahidi kuweka balance kati yao katika kila kitu lakini wapi. Kitu kidogo tu hao. Sipendi kabisa hali hii na sometime huwa nawakung'uta lakini I just end up feeling guilty.
Najitahidi kuwanunulia same toys lakini huyu mdogo haipitagi siku mbili unamkuta na screwdriver keshalibomoa la kwake. Halafu anachukua la kaka yake anataka alifumue na la kwake. Baada ya hapo sijui anataka alifanyie panel beating?
Wa kwanza ni mpole flani. Ana huruma sana na anajua namna ya kumtuliza mwenzie by turning it all into a new game. Lakini akiwa fed up ama akihisi kuonewa ngumi zinaanza. Baba yao wala haimuumizi. Anajibu, 'Yes! Vidume hivyo acha vidundane' and it makes me feels like eating him alive.😱
I love my sons very very much and I hate to see them fight. I want them to love each other deeply. To be friends as well as brothers. To always take care of each other and have each others back.
What shall I do? What I'm I doing wrong?
Kuogelea? Watoto wadogo wakaogelee mmmh
Cha msingi umri huo wajengee tabia ya kupendana usiwaache wakwaruzane bila kuwakaripia
Pia kama ni mkristo anza kuwafundisha neno la Mungu jinsi ya kusali,kutotukanana,kutochukua vitu bila kupewa ,jinsi ya kusalimu kwa heshima,etc
ni kawaida sana kama walivosema member waliofuata hapo. nakupa pole Karucee maana muda wa kuinjoy na mumeo ni muda ambao watoto wameenda nursery tu. muda uliobakia ni full fujo ndani mpaka saa tano usiku. ushauri usiache vitu vya hatari kama kisu, kiwembe, msumari n.k katika mazingira ya kawaida. hebu niambie mpaka sasa umeshanunua simu ngapi?
Unamjua?

Mbege hiyo.watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha