Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,183
- 3,492
Basi huko ndio kutumia ushetani (ubaya) kwenye kazi ya kimungu (njema)Longo longo zote hizo za nini? umezungumzia trickle down economics, yaani mtu akitajirika basi atasaidia wengine kutoboa, ila sio picha halisi. Atakwepa kodi, Hatolipa wafanyakazi stahiki yao na atawazuia kuunda vyama vya kuomba haki, ataharibu ushindani(biashara za watu wengine), atafanya kila namna kukuza kampuni yake. fedha nyingi zinamilikiwa na wachache.
Mungu hayupo, dunia inajitawala kwa kanuni zake, angalia mambo kwa undani mkuu, usichoke kuchimba taarifa.