Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,273
- 25,297
- Thread starter
- #161
Sawasawa, ushauri napokea...Sister, sisi tunakutakia mema. Tunadeal na chanzo chenyewe, dalali musa anakulisha matango pori. Take sometime off fanya tafakuri independently utajionea. Tunakutakia mema.
Usiwe na hasira za kutukana..
Unaonekana kuwa huna hoja...