Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

Picha ya Sanamu la Mwinyi, Nyerere nazo vipi zichomolewe alafu tuweke Kanisa la Kuhani Musa Kimara Temboni kwenye kila shilling uliambiwa Serekali Ina dini nani? Serekali ni Pagani haina dini yoyote
Upo nje ya Uzi, anzisha Uzi nitachangia...
 
Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.
Wewe nani kakwambia zile Pesa zinaabudiwa au ndio anavyowafundisha Kuhani Musa Richard Mwacha Kimara Temboni kwamba mnaziabudu Pesa zenye wanyama basi mnaabudu wanyama?
 
Upo nje ya Uzi, anzisha Uzi nitachangia...
Wewe jibu swali Serekali imekwambia Ina dini? Hizo Pesa sio za Kuhani Musa Richard Mwacha km alivyoanzisha Kanisa mwambie aanzishe Pesa zake alafu wekeni picha ya Kanisa kwenye kila shilling, nipo ndani ya Uzi
 
Walokole sijui akili mmeachia wachungaji wenu! Hujui kwamba kwenye Dola kuna picha ya George Washington? Na sanamu kubwa ya mtu aliyeshika mwenge/ the great Statue of Liberty ambayo ni sanamu kubwa zaidi duniani?!

Je kati ya sanamu ya Nyerere na sanamu ya twiga ipi Mungu anaona sio dhambi kuweka kwenye hela zetu? Tuachie hapo.
Soma Uzi Tena...
 
Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.
Yaan unamaanisha kwamba ruksa kuabudu watu Ila marufuku kuabudu wanyama hapo hapo unasema yeye kasema usiabudu Miungu wengine? Unamaanisha nini?
 
Na uone dini inavyocheza na akili yako sasa😂

Kila mfanyabiashara anamuomba Mungu asimamishe biashara yake, kwahiyo wenye biashara zinazofanana na zake wapungukiwe..... Idadi ya wateja ina kikomo, mzunguko wa pesa una kikomo, ila kila mfanyabiashara anataka Mungu amdekeze, ampe yeye tu. Mwisho wake ni masikitiko
Akili ikiwa ya ushindani unaweza kujisahau kuwa pia kuna ubunifu.

Katika ubunifu kwanza mara nyingi watu wote wanafaidika zaidi kwa namna tofauti.... ndio wapo watakaoweza kuyumba kiasi lakini mwisho wa siku maisha yamekuwa bora zaidi
 
"Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama."



Hapa ulichoshidwa kuelewa ni kua hata picha za watu nazo ni masanamu .
 
Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.
Watu hawawi masikini kwa sababu ya Pesa yenye chapa ya Mnyama Swala, Twiga, Nyati, Tembo na Simba, au unataka tumuongeze Kiboko na Mamba?
 
Liandikwe neno la kumtukuza Mungu kwenye pesa..

Wanyama watolewe zibaki picha za Marais
Nani aliekwambia hii ni Nchi ya Kidini wewe una akili wewe hii Nchi ni Secular haina dini na haiegemei dini yoyote ukileta habari za kuandika neno la kumtukuza Mungu mtataka muweke nukuu zenyu za Matayo na Luka alafu upande wa Pili watataka Surat Jumaaa usisahau kuna hadi hadi mabuddha sasa nao wakitaka Mungu wao neno liweke kwenye Pesa tutakua na Pesa ngapi?
 
Mkuu huyu dada anaihitaji uangalizi wa karibu sana.
Uangalizi upi, nipo vema.

Najua vingi sana vinavyokuja...

Rose Muhando aliimba akasema...

Naona kama maono, kumbe ndivyo ilivyo...

Nilidhani nachanganyikiwa kwa kuona hivi..

Kumbe ndivyo ilivyo...
 
Wanyama watolewe zibaki picha za Marais
Una matatizo sio Siri hapa umesemaje?
Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.
Na hapa ukasemaje?
Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.
Na hapa ukasemaje?
Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.
Emu nenda kwanza kaongee vizuri na Kuhani Musa akupe somo vizuri kuhusu Pesa za Serekali na Serekali
 
Uangalizi upi,

Nipo vema,

Najua vingi sana vinavyokuja...

Rose Muhando aliimba akasema...

Naona kama maono, kumbe ndivyo ilivyo...

Nilidhani nachanganyikiwa kwa kuona hivi..

Kumbe ndivyo ilivyo...
Haupo vema wewe una matatizo ya akili unaelekea kuchanganyikiwa na dini, umekua km mwanamaombi
 
Back
Top Bottom