Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,537
SawaNeno tu ni zaidi ya picha
SawaNeno tu ni zaidi ya picha
😂😂😂Serikali haina dini...unda serikali yako na nchi yakoHabari wakuu,
Hausika na kichwa cha habari hapo juu,
Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.
Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.
Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.
Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.
Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.
Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.
Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.
Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.
Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.
Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.
Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.
Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.
Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.
Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.
Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.
Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"
Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.
Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
Sasa Mungu anaingiaje kwenye serikali isiyoamini MunguHabari wakuu,

Umeishiwa hoja mkuu.Thomaso...
Ukiona mtu anasali kwa makuhani au mitume au manabii wa Tanzania au sehemu yoyote duniani automatically una confirm huko kichwani kwake kuna short circuit, kuna mahali umeme haufiki vizuriNyie Donatila anahitaji msaada 🤦♀️
Nilitegemea uta quote wamakonde au wazanakiHapa ndipo Serikali ilipofeli kusema haina dini, wakati mamlaka ya Duniani yote ni ya Mungu...
Warumi 13
Hakuna Mamlaka iyotoka kwa Mungu...
Siasa ndio inaendesha dunia, huwezi kuiepukaSiasa jamani...
Ndo maana sipendi...
Naam ni kama propaganda walizofanya warumiTatizo ni Uongo unaofanana na Kweli...
Hapana kwa Mujibu Wa katiba Yetu Tanzania haishikamani na Mungu yeyote...secular state..Inamaana Serikali inamiungu yake, inayoabudu...
Amri inasema Mimi ni Bwana Mungu wako usiwe na miungu mingine ila mimi...
Mungu ni mwenye wivu...