Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,561
- 21,559
- Thread starter
- #61
Mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu asiwe kiongozi...Mtu asiye na dini anatakiwa aape kwa nani?
Kwani hao wanaomuamini Mungu su ndio wanaongoza kwa wizi.?
Na kuna wasiomuamini Mungu ni watu safi kabisa au hulijui hilo?
Exposure ni muhimu tembea duniani huku ujionee.
Mamlaka ni ya Mungu...
Kiongozi anayetoka au hofu ya Mungu hawezi kuwa mwizi, Wala hawezi kujipenda mwenyewe...
Atawafikiria wengine, maana anajua ya kuwa aliyemuweka pale ni Mungu na anajua kusudi la kuwa pale...
Hata baraka zitokazo kwa Mungu zitawafikia watu...