Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Hausika na kichwa cha habari hapo juu,

Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.

Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.

Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.

Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.

Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.

Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.

Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.

Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.

Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.

Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.

Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.

Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.

Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.

Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.

Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.

Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"

Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.

Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
 
Kama kuweka picha ya wanyama, inamaanisha tunaabudu wanyama. Vipi zikiwekwa picha za watu, tafsiri ije tofauti?
 
Kuna Siku Utatembea Kama Wale wanaotembea Wanapiga Makelele Njiani wakidhani wanahubiri
 
Vp mkuu leo umetoka kwa Kuhani Musaa wa Kimara nn?
 
Donatila, iweje Mungu mwenye upendo aruhusu mfumo wa pesa ndo uwe njia ya mwanadamu kujipatia riziki? Si unajua mfumo wa pesa uko centralized(unasimamiwa na watu/mamlaka maalum mfano benki ya dunia, IMF), sio kwamba wana uwezo tu, wanatumia mamlaka hayo kujinufaisha na kukandamiza maskini.

Kwanini aruhusu? Kwanini asisimamie yeye mwenyewe?
 
Habari wakuu,

Hausika na kichwa cha habari hapo juu,

Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.

Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.

Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.

Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.

Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.

Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.

Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.

Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.

Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.

Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.

Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.

Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.

Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.

Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.

Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.

Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"

Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.

Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom