Nimecheka sana hahahah😀 😀😛😛 kuhani musa kama hawavutishi unga, sijui!!!
Ulaaniwe na kizazi chako chote...
Kuna wanyama pia kwenye hizo dollar, wanaitwa Watu.Habari wakuu,
Hausika na kichwa cha habari hapo juu,
Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.
Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.
Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.
Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.
Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.
Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.
Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.
Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.
Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.
Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.
Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.
Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.
Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.
Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.
Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.
Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"
Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.
Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
Samahani sana kama nimekutusi dada Donatila , ila napenda kukushauri kuwa jaribu kutumia common sense sio kila unalosoma kwenye vitabu vya dini ama kwingine unalibeba kama lilivyoUmenitukana sana mkuu...
Huna hoja, ungekuwa umesoma usingeishia kunitukana...
Weka hoja tushindane kwa hoja...
Haya ndio matokeo ya mafundisho ya mitume na manabii wa uongo. So hela zina masanamu halafu wao ili uwaone wakuombee wanakulipisha hizo hizo zenye masanamu laki mbili kabisa 😁😁😀😂. Na bado, watawanyoosha mpaka akili zikae sawa.Habari wakuu,
Hausika na kichwa cha habari hapo juu,
Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.
Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.
Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.
Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.
Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.
Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.
Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.
Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.
Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.
Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.
Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.
Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.
Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.
Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.
Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.
Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"
Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.
Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
Elimu imewasaidia Nini watanzania?
Kutwa mnaililia Serikali ajira...
Mnalilia CCM itoke madarakani si mmeelimika itoeni Sasa...
Elimu iwasaidie basi...
Kama ni member ambaye nakufuatilia ni wewe ila kwa kunitukana Leo nimeshangazwa...Samahani sana kama nimekutusi dada Donatila , ila napenda kukushauri kuwa jaribu kutumia common sense sio kila unalosoma kwenye vitabu vya dini ama kwingine unalibeba kama lilivyo
Ila hayo matendo hayawezi kutofautishwa/kutenganishwa na diniIpo tofaut ya dini na matendo ya watu wa dini
Kuhani anataka zile Pesa zote zenye wanyama watolewe awekwe yeye anasahau kwamba na yeye ni Mnyama tu kwenye umbo la binadamu 🤪Haya ndio matokeo ya mafundisho ya mitume na manabii wa uongo.
Hii ni hoja yako,I, for one, sisubiri kufanyiwa chochote kile na serikali. Kila nachopata ni juhudi zangu binafsi.
Anaesubiri msaada wa serikali au miujiza ya dalali musa au kutafuta sababu for their shortcomings kama wanyama kwenye hela is a mental case anahitaji msaada.
Wafia dini na washirikina ni two faces of the same coin.
🤣🤣🤣🤣mkuu huyu dada nilisema anahitaji uangalizi aidha emotional comfort au wa kitabibu tena wa karibu sana.Hata dalali musa hawezi kunilaani let alone you 😅
Pole mkuu, ni matumaini yangu umeokota mawili matatu piaKama ni member ambaye nakufuatilia ni wewe ila kwa kunitukana Leo nimeshangazwa...
Umeharibu Uzi wangu, wote watafuata comment yako...
Ubarikiwe na Mungu...
Sikuona sababu ya kuleta hoja ya Mtumishi kwenye Uzi huu...
Sababu sio pahali pake...
Mngenipinga tu kuwa sipo sahihi
🤣🤣🤣🤣mkuu huyu dada nilisema anahitaji uangalizi aidha emotional comfort au wa kitabibu tena wa karibu sana.
Tatizo la afya ya akili ni kubwa sana