Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

Labda wewe uliyesema..
Biology ulitembelea F kwenye mlingoti wa Chuma Mammals ni nini? Swala yupo kundi gani na Binadamu yupo kwenye kundi gani? Mbuzi ananyonyesha? Binadamu hanyonyeshi?
 
Habari wakuu,

Hausika na kichwa cha habari hapo juu,

Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.

Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.

Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.

Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.

Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.

Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.

Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.

Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.

Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.

Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.

Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.

Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.

Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.

Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.

Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.

Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"

Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.

Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
Umasikini ni fikra hakuna cha laana wala nini....

Je walioweka majengo yasiyo hata na uhai na yametengenezwa na binadamu siwangekuwa na laana square? Iweje kuweka kiumbe kilichoumbwa na Mungu wako iwe laana?
Fanya kazi acha kumpa Mungu lawama.
 
Biology ulitembelea F kwenye mlingoti wa Chuma Mammals ni nini? Swala yupo kundi gani na Binadamu yupo kwenye kundi gani? Mbuzi ananyonyesha? Binadamu hanyonyeshi?
Civics tu alikula F, sidhani kama kidato cha tatu alifanikiwa kusoma Science. Hana dalili ya kuhimili masomo 9
 
Utter nonsense. Baba wa taifa hakukose aliposema umaskini na ujinga ni janga la taifa.
Elimu imewasaidia Nini watanzania?

Kutwa mnaililia Serikali ajira...

Mnalilia CCM itoke madarakani si mmeelimika itoeni Sasa...

Elimu iwasaidie basi...
 
RC watampa na Utakatifu...

Muda utasema...
Una matatizo ya akili ndugu yangu kabla hujafungua Uzi chukua mda wako tulia hata watu wakija kukupiga spana ujue mpango wa kutokea, ongea vizuri na Kuhani Musa asikwambie tu kwamba Binadamu sio Mnyama na wewe umekenua tu,
 
Usijifanyie mfano wa kitu chochote kilichopo mbinguni, dunian wala majini kwa maana mungu wako ni mungu mwenye wivu atawapatiliza maovu ya baba zako mpaka kizaz cha nne
 
Ukijichanganya ukamuweka huyu binti ndani, kuna hati hati ya kupigiwa na nabii
 
Kama wanyama sio viumbe wa Mungu kwanini aliwaokoa wakati wa gharika ya Nuhu kwan nyie mnaoamini?

US dollar ina jicho zamani mlikua mnasema ni freemasons kadhalika ina picha ya eagle nao wamelaaninwa?
 
“Hagai 2:8 Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi.”

Na mistari mingine inayotaja fedha nafikiri ni madini ya Fedha na madini ya dhahabu.

Kuweka wanyama kwenye nyuso za pesa sio kuwatukuza wala kuaabudu sababu serikari ya JMT haina Dini.

Nafikiri ni sehem Ya kupunguza gharama sababu tungeweka sura za viongozi tungekua na gharama ya kuchapa pesa Mpya kila uchao maana Mama yangu Samia angataka akae ,mzee wangu Jk ,Hayati JPM Yaan kila mtu na vurugu zake akiingia in power.
 
Tanzania ni Muumini wa Wapi ?

Ya Kaisari muachie Kaisari
 
Habari wakuu,

Hausika na kichwa cha habari hapo juu,

Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.

Mungu Muumba wa mbingu na nchi yeye mwenyewe ndio aliyesema fedha, Mali, dhahabu ni Mali yake.

Sasa inakuwaje tukaamua kuweka wanyama kama picha.

Ni kama tunaabudu wanyama kwa kuwapa thamani ya kukaa kwenye pesa.

Hii ni moja kati ya dhambi ambayo ndio imefanya tumelaaniwa na Mungu.

Moja kati ya amri ya Mungu ni msiiabudu miungu mingine ila mimi.

Ni bora pesa ya Tanzania iwe na picha za watu lakini sio wanyama.

Ndio maana nchi inakila kitu imebarikiwa ila vinachumwa na wengine.

Watanzania wanabaki kuwa masikini kwakuwa wamelaaniwa.

Kosa sio la Watanzania linaanzia kwenye mamlaka za juu.

Mamlaka ya uongozi wa nchi unaanzia kwa Mungu muumba nchi na vyote.

Viongozi nao wamejipa mamlaka yao ndio maana wakaweka wanyama.

Uongozi mmepewa na Mungu msisahau hili viongozi wa Tanzania.

Pesa yenyewe haina thamani kwakuwa imejaa miungu ya wanyama.

Nyie hata kumpa Mungu heshima ya kuwa pesa ni yake na kumpa utukufu.

Wamerekani wao wamemtukuza Mungu katika pesa yao ya Dola wamempa Mungu sifa kwa kuweka neno "IN GOD WE TRUST"

Dola ndiyo pesa inayojulikana Duniani kote pamoja na kuwa zipo zingine.

Nashauri litafutwe neno la kumtukuza Mungu liwekwe kwenye pesa yetu.
Naunga mkono hoja iwekwe picha ya MUARABU NA MTUMWA ili kumuenzi mtukufu the phd na msomi samia kwa kutuletea muarabu .
 
Naunga mkono hoja 8wekwe picha ya MUARABU NA MTUMWA ili kumuenzi mtukufu the phd na msomi samia kwa kutuletea muarabu .
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa
 
Back
Top Bottom