Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,024
- 4,031
Kachague selo!
Nimecheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana

Kuna siku nilishuhudia jamaa kaenda pale anasema nimekuja niliitwa sasa nimekuja, akaulizwa unaitiwa nini akasema mimi sijui lakini nimeambiwa nahusishwa na wizi wa laptop, akaulizwa aliyekushitaki yupo wapi? Akasema sijui? Wakamwambia basi kaa hapo usubiri yeye akasema mm sina muda nina mambo yangu mengine kama yeye hayupo basi ile kabla hajamaliza akaambiwa hiyo haya vua mkanda, vua viatu, weka mazaga pale alafu kachague selo.
Sent using Jamii Forums mobile app