Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Habari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hapa.
Jua haki yako unapokamatwa na Polisi
Kama unajiamini hujawahi kufanya lolote baya nenda. Pia jua ukienda leo utawekwa ndani mpaka J3. Kumbuka kujiamini maana hawa policcm divsheni four huwaga na katabia ka kupiga mkwara ukiwa muoga imekula!
Cc Dragoon Petro E. Mselewa BISECKO Pascal Mayalla
