Newword
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 326
- 304
Mengine nakubaliana na wewe, tena ikiwezekana kama ikiwezekana kama anajuana na wakili au mwanasheria yoyote aende nae. Lakini pia kuchati na mke wa mtu au hata kufanya nae mapenzi siyo kosa la jinai hivyo haiwezi kuwa sababu ya kuitwa kituo cha polisi, labda iwe kwenye kuchat mlitumiana picha za utupu.Kuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything. Ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake. Nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue. Ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma.
Kama ni issue ya mke wa mtu ni kesi ndogo tu,ukipatkana na kosa utalipa fidia tu. UsiogopeKuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything. Ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake. Nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue. Ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma.
Dogo kama ulinunua simu mkononi usiende vunja line na simu ipasue uendelee na mambo yako vinginevyo utapewa kesi ya mauaji na itakutoka zaidi ya M kadhaa kusawazisha mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wasisitize waje na prado siyo difendaSijui asre,Hta mimi nawaza hilo
heri wanifate wenyewe kuliko kujipeleka kama kondoo
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo umeongea mamboKwani sheria inasemaje kuhusu summons za polisi?
Yaani inaingia simu out of nowhere eti mtu anadai ni polisi,utaamini vipi?
Vipi Kama simu akipokea mtoto,au houseboy utajuaje unahitajika?
Kwanini wasilete summons physically?
Kausha kaka usiende, hawana maana kabisa ata kama hauna kosa wata kuzingua tu ili wapate pesa, siku kuu zimekalibia hizi we akikupigia tena mwambie umekufa unaenda kuzikwa
Marehemu anaongea😄😄😄Kausha kaka usiende, hawana maana kabisa ata kama hauna kosa wata kuzingua tu ili wapate pesa, siku kuu zimekalibia hizi we akikupigia tena mwambie umekufa unaenda kuzikwa
Hahahaha!kumbe siku hizi Kuna criminal case za kumtafuna mke wa mtu?Kuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything. Ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake. Nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue. Ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma.
Kama ni namba unaitumia kiofisi?USHAURI wa bure jitahidi kuepuka majungu, matusi, kuandika au kusema kila unachoona kwako ni kizuri. Usipende kuwa na namba hiyohiyo miaka yooote. Badili badili namba zako.
Inafaida gani
Unapunguza watu wanaokufaham utakaa nao mbali
Utaanza na watu wa karibu yako na muhimi tuu
Utapunguza uwezekano wa waliopeana namba zako kukukosa si lazima usubiri dili kwa namba ya zamani.
Na mengine mengi.
Ukiweza kupata wakili wa kuongozana naye, itakuwa ni jambo jema zaidi, na wao pia watakuwa waangalifu ktk utendaji kazi wao.
That is the point. Wakili alikuwepo ukiwekwa lock up watu wako wa karibu watakuwa na pa kuanzia.
Kama hujawahi kukutana na kukabiliana na songombingo za polisi utaogopaThat is the point. Wakili alikuwepo ukiwekwa lock up watu wako wa karibu watakuwa na pa kuanzia.
Kuna watu nasikia lakini...Hayo ndo matokeo ya kusajili laini kwa alama za vidole na namba ya nida...
Unadakwa kama kuku mwenye kideri

, hata siwaelew mapolisi wa bongoAcha kutumia hiyo simu na laini kwa mda... ... kama wamekudhamiria basi wakufate ulipo ...sio kwa simu.