Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
Hao majambazi na matapeli mbona hawakamatwi ki rahisi hivyo?Wew unaewaza kubadili line inawezekana kuna kitu ambacho unahusika na unatafta namna ya kukikwepa,Hata ukibadili line au ukikaa bila Simu,wakitaka watakupata tu labda wasidhamirie kukupata, Cha mhimu nenda wasikilize ila uende na ndg wa Karibu na Usikubali mkutane au mzungumze sehemu ambayo sio kituo cha polisi,Mazungumzo yenu lazima yawe kituo cha Polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
mtafute polisi mmoja pale pale central... ... yataisha kilaini!
Sent using Jamii Forums mobile app
