Buruguja
Member
- Jul 29, 2019
- 46
- 55
Wew cha mhimu mwambie mtu wako wa Karibu kuhusu kuitwa kwako then nenda Central na huyo mtu wako ukifika mpigie huyo aliyekwambia kwamb ni polisi wa kitengo Cha Cyber, Kuchelewa kwako au kutokwenda unaweza ukawa unaongeza kosa maan tayari ushaambiwa kuna mtu unawasiliana nae mara kwa mara
Kwa hyo kama anaetaftwa ni huyo mtu kupitia wew,na usipoenda watajua kabisa kwamb wew na huyo unaewasiliana nae mara kwa mara kuna kitu kinachoendelea dhidi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo kama anaetaftwa ni huyo mtu kupitia wew,na usipoenda watajua kabisa kwamb wew na huyo unaewasiliana nae mara kwa mara kuna kitu kinachoendelea dhidi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app