Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6
Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna.
Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika?
Alafu baada ya kupata KAZI ndio nifanye recategorisation???
Au ntakuwa napoteza muda wakuu??
Ahsante
Naomba ushauri mzuri kwani ndio ntautumia