usafiri 500000 unaenda kuoa wapi kutoka wapi? na huo usafiri wa kawaida 200000 ndio upoje hadi umegawanyisha? kama kuna dufu mziki wa nini? toa kimoja... dua na sheikh ni kitu kimoja hiko, bajeti ina vitu vingi visivyo na ulazima
Bajeti yake hakuna hata bia hii ni harusi au msiba ? Hata msibani siku hizi tunapaki kwanza gari la maiti pale njia panda tunashuka kuchamba makoromeo kwenye kale ka barπ