Ushauri ndoa ya kislamu?

Waislam hawana ndoa. hiyo inaitwa " "gentlemen contract" Ndoa ni taasisi yenye heshima yake katika kuifunga na kuivunja
 
Hakuna bajeti maalumu kwenye ndoa iwe ya kiislamu au nyingine yoyote ile

Ni juu yako wewe muoaji unataka harusi yako iweje,ila kwenye uislamu hatuna mambo mengi labda wewe uyafanye yawe mengi
 
Pesa ndogo sana mnapenda kutoa kebeh Kwa vitu vidogo kama Ivo

Watu wanachanga milion 50 harusi tu wewe iyo million 2 unamwambia mwenzako maneno ya kebeh
Bajeti yake hakuna hata bia hii ni harusi au msiba ? Hata msibani siku hizi tunapaki kwanza gari la maiti pale njia panda tunashuka kuchamba makoromeo kwenye kale ka barπŸ˜‹
 
Huo uwekezaji anaenda kupata loss
Huo sio uwekezaji,hiyo sio investment,hiyo sio biashara,

Ndio maana nimekuuliza,anaendaje kupata hiyo loss? Weka details zako hapa,

Pia weka na ushauri wako hapa,afanye nini?

Mada inahusu bajeti yake inatosha au haitoshi? Issue ya kupata loss inahusika vipi na hii mada?
 
-Tent unaweza ndoa funga msikitini baada ya swala ya faradhi.
  • Dufu ondoa mkuu, hakuna dalili inayosupport ( na kama itakuwepo basi inafaa iwepo kwa wanawake tu)
  • Dua ya ndoa hatuna kitu kama hicho

Funga ndoa msikitini, chakula kinapikwa na kuwa packed kwenye "take away" paper plates kinagawiwa msikitini na kingine kinagawiwa mtaani,, hakuna mkusanyiko.

Picha ni muhimu kwa ukumbusho.
 
Nadharau sana kitu kinaitwa HARUSI HASA KATIKA KIZAZI HIKI NI KUJIHAIBISHA TU ...Kama una oa..bora basi kuoa bila ya harusi na mbwembwe nyingi....watu 28 tu wanatosha au chini ya hapo.
 
Wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…