Ahsante sana nami umenisaidia maana naagiza vitu dar to mkoani lakn naagiza kwa mtu sijui ana supermarket yule Bei yake imechangamkaNjoo Dar maeneo ya Kitumbini nenda ktk Duka la Mohamed Zakaria kila unachokihitaji utakipata kwani wafanyabiasha wengi wa Jumla ndiko wanakonunulia bidhaa zao.
Sio mbali ukishatoka hapo Mnazi Mmoja NBC Banki
Kama ulivyoshauriwa juu jaribu mwenyewe kwenda dar kufuata mizigo maduka ya jmla utafanikiwaAhsante sana nami umenisaidia maana naagiza vitu dar to mkoani lakn naagiza kwa mtu sijui ana supermarket yule Bei yake imechangamka
Lakini unapata faida? Hapo ukisoma somo la kumuepuka mtu wa kati utatoboaAhsante sana nami umenisaidia maana naagiza vitu dar to mkoani lakn naagiza kwa mtu sijui ana supermarket yule Bei yake imechangamka
Finally nipo Dar kwaajili ya mzigo. Ndo naenda kwenye hilo duka mkuuNjoo Dar maeneo ya Kitumbini nenda katika Duka la Mohamed Zakaria kila unachokihitaji utakipata kwani wafanyabiasha wengi wa Jumla ndiko wanakonunulia bidhaa zao.
Sio mbali ukishatoka hapo Mnazi Mmoja NBC Banki
Kila jema.Finally nipo Dar kwaajili ya mzigo. Ndo naenda kwenye hilo duka mkuu
Yupo Kwa upande upi huyu jamaaNjoo Dar maeneo ya Kitumbini nenda katika Duka la Mohamed Zakaria kila unachokihitaji utakipata kwani wafanyabiasha wengi wa Jumla ndiko wanakonunulia bidhaa zao.
Sio mbali ukishatoka hapo Mnazi Mmoja NBC Banki
Finally nipo Dar kwaajili ya mzigo. Ndo naenda kwenye hilo duka mkuu
Kama utahitaji Biscuit kwa bei ya kiwandani nicheckAhsante sana nami umenisaidia maana naagiza vitu dar to mkoani lakn naagiza kwa mtu sijui ana supermarket yule Bei yake imechangamka
Inategemea na baadh ya vitu mkuu. Mimi nimebase zaidi vitu vya dukani lkn kimachinga ila wale wapo general. Mpaka vitu vya kula km mafuta...nk wanauza.Utofauti wa Bei ukoje ukilinganisha na Bei za super dealers kama mama mtei na mama neema?