Privacy Symposium Africa: Shiriki na JamiiForums kujadili matokeo ya Utafiti wa Awali kuhusu Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Privacy Symposium Africa ni kusanyiko la kipekee lililoundwa kuvutia, kutoa na kujadili matokeo ya Utafiti wa Awali, Sera na Maendeleo ya Teknolojia yanayohusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha.

Hii ni Awamu ya tano ya Kusanyiko hili na safari hii linafanyika Nchini Mauritius kuanzia Novemba 7 hadi 9, 2023 likiwa limeandaliwa na Unwanted Witness kutoka Uganda huku JamiiForums ikiwa mmoja wa Washirika katika maandalizi mwaka huu

photo_2023-11-07_07-32-20.jpg

photo_2023-11-07_07-32-21.jpg

photo_2023-11-07_07-32-23.jpg

photo_2023-11-07_07-32-24.jpg

photo_2023-11-07_07-32-25.jpg
 
Back
Top Bottom