Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

Upowapi nikulinde nina jamaa walinzi wa club wanaweza kuwa bordgurd
Kwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi.
 
Wewe unahitaji kama yule wa Fred Vunjabei, Billionaire Shillah na Diamond...ninao kibao hapa Gym mtaani.
Asante kwa ushauri mkuu! Hawa bodyguards gharama zao kwa wiki/mwezi zipo vipi?
 
mkuu tumia kampuni binafsi , bajeti laki 3 mpaka 5 kwa unarmed security
 
Asante kwa ushauri mkuu! Hawa bodyguards gharama zao kwa wiki/mwezi zipo vipi?
Amezitaja Mose juu 900K ila walio chini ya kampuni kwa Personal tu 400K kama unahusika na kushika Pesa na vitu vya thamani nashauri wa Kampuni ila kama for safe tu hata personal...all in all yours.
 
Back
Top Bottom