Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

Amezitaja Mose juu 900K ila walio chini ya kampuni kwa Personal tu 400K kama unahusika na kushika Pesa na vitu vya thamani nashauri wa Kampuni ila kama for safe tu hata personal...all in all yours.
Oh! Shukrani 👌🏾
 
Mkuu, sasa wewe huhitaji Mlinzi mmoja.

Unahitaji kundi la ulinzi:
Kundi la kwanza, walinzi wanaokuwepo na wewe kila mahala unapokuwepo. Wawe ni njemba zilizoshiba na zenye uwezo na kibali cha kutumia silaha pale inapobidi.

Kundi la pili, wakusanya taarifa kuhusu mahali popote utakapotarajia kwenda. Hawa wanahitajika kuwa wenye elimu ya ushushushu kwa kiwango kidogo. Wadadisi wa mambo.

Kundi la tatu, hawa ni wapishi wa chakula na waandaji wa eneo utakalopumzika ukiwa safarini na nyumbani.

Kundi la nne, walinzi wa nyumbani pamoja na eneo lako la biashara. Muda wote 24/7 wapo kuhakikisha panakuwa salama.

Usijipe guarantee kwamba kuwa chakula atakachoonja Body guard ndipo ule kitakuwa salama. Mnaweza kufa wote na hakuna atakayejali.

Swala zuri ni kuwa na mpishi wako (Chef) ambaye unamuamini na kumlipa vema.

Kama hivi, andaa budget kubwa sana zaidi ya 10M kwa mwezi.
 
Usijipe guarantee kwamba kuwa chakula atakachoonja Body guard ndipo ulekitakuwa salama. Mnaweza kufa wote na hakuna atakayejali.

Swala zuri ni kuwa na mpishi wako (Chef) ambaye unamuamini na kumlipa vema.

Kama hivi, andaa budget kubwa sana zaidi ya 10M kwa mwezi.
Shukrani kwa uchambuzi wako, sema kupika na masula yote namaliza mwenyewe tatizo ni hofu nikianza kutoka na kwenda maeneo unfamiliar.
 
Utaaribiwa uwanafunzi wako
Ha ha ha ha kiaje sasa mkuu?

On a serious note, natamani kujifunza jambo.
Mfano Sabaya, alikua na walinzi binafsi. Kisheria huwa imekaaje kuwa na mlinzi binafsi? Unahitaji kuwa na nini haswa?

Mf. Wale walinzi wa sabaya wako kizuizini kwasababu ya kushiriki matendo ovu ama kuna lingine la ziada?

Kuwa na walinzi binafsi kwa mfano watumishi limekaaje?

Mkuu asante kwa uzi wako... utatusaidia kujua mengineyo
 
Shukrani kwa uchambuzi wako, sema kupika na masula yote namaliza mwenyewe tatizo ni hofu nikianza kutoka na kwenda maeneo unfamiliar.
Basi ondoa kundi la wapishi.

Kundi la wakusanya taarifa pia liwe ni kwa muda. Pale tu utakapokuwa safarini.
 
Mkuu, sasa wewe huhitaji Mlinzi mmoja.

Unahitaji kundi la ulinzi:
Kundi la kwanza, walinzi wanaokuwepo na wewe kila mahala unapokuwepo. Wawe ni njemba zilizoshiba na zenye uwezo na kibali cha kutumia silaha pale inapobidi.

Kundi la pili, wakusanya taarifa kuhusu mahali popote utakapotarajia kwenda. Hawa wanahitajika kuwa wenye elimu ya ushushushu kwa kiwango kidogo. Wadadisi wa mambo.

Kundi la tatu, hawa ni wapishi wa chakula na waandaji wa eneo utakalopumzika ukiwa safarini na nyumbani.

Kundi la nne, walinzi wa nyumbani pamoja na eneo lako la biashara. Muda wote 24/7 wapo kuhakikisha panakuwa salama.

Usijipe guarantee kwamba kuwa chakula atakachoonja Body guard ndipo ule kitakuwa salama. Mnaweza kufa wote na hakuna atakayejali.

Swala zuri ni kuwa na mpishi wako (Chef) ambaye unamuamini na kumlipa vema.

Kama hivi, andaa budget kubwa sana zaidi ya 10M kwa mwezi.
Woooow thank you. Hapo kwenye upande wa kisheria ndo nilipotamani kujua zaidi mkuu... tafadhali dadavua zaidi
 
Asantee mkuu... ila mimi kwa sasa nataka kushughulikia suala la kamguu ka kuku kwanza. Sijafikia maisha ya kuweza kumiliki walinzi binafsi. Nami nakutangulizia ulinzi wa kiroho kwanza in Thy Might Name Amen
Mguu wa kuku uki meet na msongo wa mawazo katika muda sahihi na sehemu sahihi uwenda ikiwa njia rahisi ya kujiuwa.

Si bidhaa nzuri sana kuwa nayo
 
Back
Top Bottom