Ushauri: Mtoto wa kuasili anahitajika haraka

Ushauri: Mtoto wa kuasili anahitajika haraka

Ni uamuzi mzuri,ila kuna vitu kubali kuviacha vipite,inaonyesha umeumia sana kimapenzi,usiusishe hata kidogo maisha yako binafsi uliopitia na malezi ya mtoto utakaye amua kumuasili,unaonyesha mwepesi sana wa kupanic,kuna jamaa kakuuliza kua jee huna ndugu ambao wana watoto unaoweza kuwalea alikuwa na nia njema kabisa? akiwa na maana kua wewe kama mwafrika hukosi ndugu ukoo mzima,lengo lake lilikuwa zuri tu ila jinsi ulivyomjibu imedhihirisha kuwa una matatizo makubwa ya kisaikolojia,kama unaweza tatua hili pia litafanikisha vizuri makuzi mema ya mtoto utakaye muasili,ila Lengo lako ni zuri kabida na Mungu Akuwezeshe katika hili na Akulipe malipo makubwa kuazia hivi sasa na kuendelea wote tungekuwa na fikra kama hizi,dunia ingekuwa mahali salama kabisa ya kuishi
 
Kweli huu uzi unaonyesha ni jinsi gani watu siku hizi halivyoo jaa umimi nafisini mwao,mara kachukue wa ndugu,mara hv khaaa mpaka kero.
Kwani hao wasio na ndugu hawaitaji kulelewa,mtoa mada alipohitaji hvyo hakujua ana ndugu!.Mkuu fanya kama moyo wako inavyohitaji
asante kunielewa mkuu achana nao wabinafsi hao wanawaza vya kwao tu
 
Kwani huna kizazi? Kuna harufu ulizikwapua nyingi sana ukiwa shule.
Pole sana dada yangu ndio maisha.
Ushauri wangu kwako, najua upo lonely sana kwa sababu mara utake mwanafunzi wa kumbeba mara utake ku adopt mtoto.
Hizi zote ni stress.

Nina uhakika huwezi kuasili mtoto. Kuasili mtoto sio jambo dogo kama unavyodhani.

LaIma uwe financial stable kitu ambacho nina uhakika kwa umri wako miaka 21 hujawa stable na hawatakukubalia.
Nitafute PM kwa ushauri zaidi.
Though nakupenda sana, ( sio kimapenzi) kwa sababu najua ushatendwa sanaa. Sitaki kugawana machozi yako.
miaka 21? ya kwangu au ya mtoto naemuasili?
 
Back
Top Bottom