USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.

Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.

Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.

Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) nikawa nasikia maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya karibu ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda ni saa mbili kasoro na bado hajaenda shule.

Kuna namna naweza kufungua ule mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.

Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anapanda na kushuka mnazi.

Nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo mambo.

Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.

Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nikafikiria nimtembezee kipigo hevi lakini nilipofikiria kitendo alichofanya kina undugu mzito sana na uraibu unaotesa hadi watu wazima nikatulia nisijue cha kufanya, niliondoka kwenda kwenye shughuli zangu.

Ingekuwa kwamba hajatandika kitanda, hajaosha vyombo, hasalimii, hajafua uniform, katukana, kapasua tv, n.k. haya makosa ni kuonya, kukaripia na bakora lakini hii ya leo ni tofauti, hapa tunazungumzia uraibu ambao unatutesa hadi watu wazima, sio rahisi kuuondoa kwa stiki ama kugombeza ama kukanya.

Naamini ya kwamba samaki ukimkunja akiwa mbichi ni rahisi kuliko akikauka, huyu bado ni mtoto na kuna chance ya kumuokoa mapema.

Nimefikia muafaka nikae nae chini nimueleweshe, Sasa naombeni ushauri wa namna gani naweza kumuelimisha huyu mtoto aache hii tabia?

Naombeni techniques za kumshauri mtoto ambae bado hata uwezo wake wa kuielewa hii dunia bado upo chini nimueleweshe kwa urahisi kwamba anachofanya si sawa na aache, siwezi kumshauri kama mtu mzima inabidi uwe nimshauri kwa kuzingatia utoto wake.

Punyeto ina madhara makubwa, magazeti kama fema yaliwahi kuwapotosha vijana kwamba haina madhara, Leo hii hao vijana kutwa wanasumbuka kufatilia tiba ya matatizo yaliyowakumba.
 
Habari mkuu. Hiyo kweli sio tabia ya kawaida Ila usimlaumu Sana kwa sababu anafanya hivyo kutokana na mabadiliko pengine anayoyapitia mwilini mwake. Embu jaribu kumuweka chini kwanza umuulize ni mabadiliko gani anayahisi mwilini mwake, Apo ndo utajua umsaidie vipi.

Pengine anapitia "social anxiety" yaani mda mwingi anajitenga mwenyw bila kukaa na wenzake. So pia nakushauri Kama Hana michezo hapo Nyumbani jaribu kutafuta michezo ambayo ataifurahia ata Kama si Nyumbani. Ila apate muda wa kucheza na wenzake na sio kujitenga. Asante
 
Aise ndio output ya vitabu vya "Diary of a Wimpy Kid"???🤔🤔

IMG-20230214-WA0043.jpg

IMG-20230214-WA0042.jpg

IMG-20230214-WA0038.jpg
 
Ana simu au Hana ,mpe kipigo cha mbwa Koko na umshauri na kumkanya sana
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.

Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.

Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) na maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda na bado hajaenda shule.

Kuna namna naweza kufungua mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.

Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anajipiga mtutu.

nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo ambayo wengine tuliyaanza baada ya kubalehe.

Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.

Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nikaona sina uamuzi sahihi wa cha kufanya nikaondoka kuelekea kwenye shughuli zangu.

Sasa hapa narudi jioni, Je ni uamuzi upi sahihi nichukue.

1. Kipigo kikavu

2. Kipigo na kukaa nae chini

3.Nimkabidhi dingi yake ashughulike nae

4.au nichukue uamuzi upi ??
Usimpige,unaweza kupata kesi,mueleweshe na mfahamishe,atakuelewa.
 
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.

Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.

Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.

Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) nikawa nasikia maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya karibu ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda ni saa mbili kasoro na bado hajaenda shule.

Kuna namna naweza kufungua ule mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.

Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anapanda na kushuka mnazi.

nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo mambo.

Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.

Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nimekaa kama dakika 5 hivi nikaona sina uamuzi sahihi wa cha kufanya nikaondoka kuelekea kwenye shughuli zangu.

Sasa hapa narudi jioni, Je ni uamuzi upi sahihi nichukue.

1. Kipigo kikavu

2. Kipigo na kukaa nae chini

3.kukaa nae tuongee

4.Nimkabidhi dingi yake ashughulike nae

5.au nichukue uamuzi upi ??
Kaa chini uongee naye. Mfanye ajisikie amani kufunguka kwako ili akuelezee kiundani zaidi chanzo. Mfanye akuamini kukuambia mambo yake ya ndani kwa kumsikiliza bila kumjaji.

Mana unaweza piga mtu alafu hujatatua chanzo. Pia ujue yanayomshawishi shuleni na nyumbani.

Kisha muulize ni kitu gani angependa kufanya badala ya kujichua, kisha muongoze kufanya hicho kitu. Iyo ni tabia tu kwaiyo ukiweza kumsaidia kujenga tabia nyingine wote mtafurahi.

Kuna mdogo wangu alikua na shida kama hiyo, ilichukua muda kama mwezi kama sio miwili saivi ameshasahau ayo mambo.
 
Back
Top Bottom