Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
- Thread starter
- #121
nina mume humu ujue na mimba juuThubutu yako..
Afu nilikuona hapo sayansi nikakukaushia.
Wewe hufiki 23.
Usipende kujiongezea umri wewe ni mwanamke
nina mume humu ujue na mimba juuThubutu yako..
Afu nilikuona hapo sayansi nikakukaushia.
Wewe hufiki 23.
Usipende kujiongezea umri wewe ni mwanamke
kwnnAfu wewe ni pm sasa hivi
achana na huyo fatakikwnn
Kisheria hutapewa. Labda ukachukue wale wa pale morocco.ahahaaa ila hata msemeje mtoto nachukua it is too late !wala sijali maneno yenu
Miss natafuta huishi vituko ww, thread zako zinanichekeshaga sana. Umewahi kuwa serious kwel maana naona thread nyingi unazochangia ni kama utani fulan vileNimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?
Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?
Any way nimemuachia MUNGU
Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
hapa utani upo wapi?Miss natafuta huishi vituko ww, thread zako zinanichekeshaga sana. Umewahi kuwa serious kwel maana naona thread nyingi unazochangia ni kama utani fulan vile
Kwa nini unauliza? Sio vibaya we pmkwnn
eti eee, asante kw ushaur missachana na huyo fataki
Khaaaaaa! Dada yangu kabisa unaniharibia wazi wazi?kwnn
Ww tunayekujua ni wa kitafuta mtoto wa kuasili au unataka likes tuhapa utani upo wapi?
Kakutania mwwnzako.h
eti eee, asante kw ushaur miss
hahahahahaKhaaaaaa! Dada yangu kabisa unaniharibia wazi wazi?
Hata hivyo huweZ kuthibitisha huo ufataki wangu wa kuchora .
Nikupe mwananguNimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?
Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?
Any way nimemuachia MUNGU
Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
like zinaliwa au zinaweka hela benk?Ww tunayekujua ni wa kitafuta mtoto wa kuasili au unataka likes tu
uliezaa nae aleeNikupe mwanangu
hahahaha,nitarud,nisubir najaKakutania mwwnzako.
Nakungoja PM Jacline wangu
Weee! Thubutu, labda wa kuchora au labda ni mume wa mtu.nina mume humu ujue na mimba juu
Kwahy unataka aliezaliwa na mzazi mmoja?uliezaa nae alee
asie na mzazi yoyoteKwahy unataka aliezaliwa na mzazi mmoja?
Hahaha poa,hahahaha,nitarud,nisubir naja