Siyo kila mzazi anayeachiwa malezi ya mtoto peke yake katelekezewa makusudi, hapana

Wegr

JF-Expert Member
Apr 27, 2022
224
579
Wakuu nina kisa hapa naomba kuwashirikisha mnishauri namna ya kuamua au kufanya,

Sio mwandishi mzuri na maelezo ni marefu usichoke kusoma pengine unaweza jifunza kitu, twende,

Miaka 5 iliyoisha nilikutana na binti huko moja ya mikoa ya kanda ya ziwa tukaanzisha mahusiano yaliopelekea kapata mtoto wa kiume wakati nilikuwa nafanya kazi huko baadaye nikahamishwa kikazi nikaletwa moja mikoa Nyanda za juu kusini ndo nilipo mpaka sasa.

Wakati niko huku nikapokea simu yake kuwa anajisikia vibaya na mambo mengine mengi nikamshauri akapime na nikamtumia pesa maana mara ya mwisho wakati nataka kuondoka tulikunatana kimapenzi akaenda kupima akanitumia majibu ikaonesha ana mimba,

Tangu hapo nikaanza kulea mimba ni binti ambaye nilimpenda na hakuonesha mwenye mambo mengi ndo maana sikusita kulea mimba, hatimaye mtoto akazaliwa zoezi la kulea likaendelea bila shida nilijitahidi kwa kweli bila kuchoka mtoto akakua na akafika hatua ya kwenda shule mwaka huu mwanzoni tukashauriana na mzazi mwenzangu tukaona ni bora aanze hizi shule za watoto kwa sababu mamaake alikuwa anajishughulisha ikawa shida kumlea ikabidi aende huko kindagaten wanaita

Kama kaiwada nikaandaa mahitaji muhimu ya mtoto kwa ajili kuanza na ada nikawa nalipa kadri inavyotakiwa.

Sasa wakuu kinachoniumiza kichwa mpaka mda huu nisikose cha kufanya ni hiki na kichwa kupata moto mpaka mda mwingine nakosa hata hamu ya kula ni kuwa wakati wanataka kufungua hii likizo fupi ya juzi hii ya wiki mbili nikampigia mwalimu wake kutaka kulipa Ada kwa mshangao mkubwa kabisa mwalimu akaniambia mtoto amahamishwa shule aisee nilitaka kugongwa na gari barabarani nilijihisi vibaya sana ilibidi nikae sehemu nitulie kwanza, maswali yaliokuwa yanakuja kichwa ni Sababu za kumhamisha ni zipi? Kwa nini hakuniambia wakati mwezi wa 8 tarehe 16 tulikuwa pamoja na mzazi mwenzangu na mtoto? aisee mpaka sasa sielewi nikampigia simu ndo ananiambia ni kweli kamhamisha shule aliyohamia hasemi namba za shule husika napewa namba ambazo hazitumiki kichwa kinauma nikamtuma ndugu yangu afatilie shule alipo mtoto hata jina aliloniambia awali kwamba kahamia hicho kishule hakipo, maumivu mara mbili

Mpaka hivi ninavyoandika hapa ameshani block namba zangu zote

Nikipiga simu inatumika.

Wadau naombeni msaada tena ni hatua gani nichukue au kwa uzoefu ni nini kipo hapa, mbona ni wa kwangu kabisa na anafanana na Mimi!
 
Kama unakujua kwao fuatilia halafu nenda ustawi wa jamii na vielelezo vyote vya ada na ikiwezekana na barua pitia aliyochukulia uhamisho!(kuku wa kwako manati ya nini?).
 
Amekunyosha kweli kweli.....wewe unasema unampenda. Lakini sasa ni mwaka wa Tano umemzalisha Pesa unayo kazi unafanya ila unataka kumweka kiporo tu.

Wanaume tuwe na huruma.

Kitendo cha kumzalisha tu kabla ya Ndoa kinamuumiza sana ila kwa kuwa anakupenda akakubaki tu kuzaa lakini familia na jamii yake inamshusha thamani.

Sasa kalea na bado anakupa utamu ila wewe unazunguka tu mikoa yeye umemweka hapo unadhani ni vizuri? Angekuwa binti yako je?

Haya mnayofanya yatakuja kuwatokea kwa watoto wenu machungu yake mtayasikia tu
 
Safi,huo ndo ukweli kabisa.halafu eti anajifanya kachanganyikiwa.Hana haya,kumbeeee,uso mkavuu Kama nguruka.Miaka yoteee hiyo yeye anadumba dumba tuuu.eti alitaka agongweee.bora angegongwaaaaa.mfyuuuuuuu
 
Amekunyosha kweli kweli.....wewe unasema unampenda. Lakini sasa ni mwaka wa Tano umemzalisha Pesa unayo kazi unafanya ila unataka kumweka kiporo tu.

Wanaume tuwe na huruma.

Kitendo cha kumzalisha tu kabla ya Ndoa kinamuumiza sana ila kwa kuwa anakupenda akakubaki tu kuzaa lakini familia na jamii yake inamshusha thamani.

Sasa kalea na bado anakupa utamu ila wewe unazunguka tu mikoa yeye umemweka hapo unadhani ni vizuri? Angekuwa binti yako je?

Haya mnayofanya yatakuja kuwatokea kwa watoto wenu machungu yake mtayasikia tu
Naomba mtusamehe
 
Hakuna kitu kama hicho ndoa ni chache siku hizi...usiipofanikiwa ndoa ndo usizae kbs
 
Temana nae kwani mbegu hapo kiunoni zimeisha? Na wanawake wa kuwazalisha si bado wapo
Me nashangaa watu waoga Amwache ateseke naye tu mtoto...mbona mimi mama yangu kanilea peke yake sijawahi kukutana na father na wala simtafuti lakini still akija kutokea nitamsamehe..binadamu ni wanyama tu kama ilivyo msituni errors hazikwepeki kikubwa ni kuishi walahu kidogo na kujitafuta..unyama unyama
 
Wakuu nina kisa hapa naomba kuwashirikisha mnishauri namna ya kuamua au kufanya,

Sio mwandishi mzuri na maelezo ni marefu usichoke kusoma pengine unaweza jifunza kitu, twende,

Miaka 5 iliyoisha nilikutana na binti huko moja ya mikoa ya kanda ya ziwa tukaanzisha mahusiano yaliopelekea kapata mtoto wa kiume wakati nilikuwa nafanya kazi huko baadaye nikahamishwa kikazi nikaletwa moja mikoa Nyanda za juu kusini ndo nilipo mpaka sasa.

Wakati niko huku nikapokea simu yake kuwa anajisikia vibaya na mambo mengine mengi nikamshauri akapime na nikamtumia pesa maana mara ya mwisho wakati nataka kuondoka tulikunatana kimapenzi akaenda kupima akanitumia majibu ikaonesha ana mimba,

Tangu hapo nikaanza kulea mimba ni binti ambaye nilimpenda na hakuonesha mwenye mambo mengi ndo maana sikusita kulea mimba, hatimaye mtoto akazaliwa zoezi la kulea likaendelea bila shida nilijitahidi kwa kweli bila kuchoka mtoto akakua na akafika hatua ya kwenda shule mwaka huu mwanzoni tukashauriana na mzazi mwenzangu tukaona ni bora aanze hizi shule za watoto kwa sababu mamaake alikuwa anajishughulisha ikawa shida kumlea ikabidi aende huko kindagaten wanaita

Kama kaiwada nikaandaa mahitaji muhimu ya mtoto kwa ajili kuanza na ada nikawa nalipa kadri inavyotakiwa.

Sasa wakuu kinachoniumiza kichwa mpaka mda huu nisikose cha kufanya ni hiki na kichwa kupata moto mpaka mda mwingine nakosa hata hamu ya kula ni kuwa wakati wanataka kufungua hii likizo fupi ya juzi hii ya wiki mbili nikampigia mwalimu wake kutaka kulipa Ada kwa mshangao mkubwa kabisa mwalimu akaniambia mtoto amahamishwa shule aisee nilitaka kugongwa na gari barabarani nilijihisi vibaya sana ilibidi nikae sehemu nitulie kwanza, maswali yaliokuwa yanakuja kichwa ni Sababu za kumhamisha ni zipi? Kwa nini hakuniambia wakati mwezi wa 8 tarehe 16 tulikuwa pamoja na mzazi mwenzangu na mtoto? aisee mpaka sasa sielewi nikampigia simu ndo ananiambia ni kweli kamhamisha shule aliyohamia hasemi namba za shule husika napewa namba ambazo hazitumiki kichwa kinauma nikamtuma ndugu yangu afatilie shule alipo mtoto hata jina aliloniambia awali kwamba kahamia hicho kishule hakipo, maumivu mara mbili

Mpaka hivi ninavyoandika hapa ameshani block namba zangu zote

Nikipiga simu inatumika.

Wadau naombeni msaada tena ni hatua gani nichukue au kwa uzoefu ni nini kipo hapa, mbona ni wa kwangu kabisa na anafanana na Mimi!
Ulikuwa unalea mimba ya wenyewe. Wameshachukua mtoto wao.

Usimwamini mwanamke hata siku moja. Mpende umpendavyo but weka akiba maana yeye siyo malaika.

Ulikuta bikira au? Maana kutwa mnawananga masingle mother.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nina kisa hapa naomba kuwashirikisha mnishauri namna ya kuamua au kufanya,

Sio mwandishi mzuri na maelezo ni marefu usichoke kusoma pengine unaweza jifunza kitu, twende,

Miaka 5 iliyoisha nilikutana na binti huko moja ya mikoa ya kanda ya ziwa tukaanzisha mahusiano yaliopelekea kapata mtoto wa kiume wakati nilikuwa nafanya kazi huko baadaye nikahamishwa kikazi nikaletwa moja mikoa Nyanda za juu kusini ndo nilipo mpaka sasa.

Wakati niko huku nikapokea simu yake kuwa anajisikia vibaya na mambo mengine mengi nikamshauri akapime na nikamtumia pesa maana mara ya mwisho wakati nataka kuondoka tulikunatana kimapenzi akaenda kupima akanitumia majibu ikaonesha ana mimba,

Tangu hapo nikaanza kulea mimba ni binti ambaye nilimpenda na hakuonesha mwenye mambo mengi ndo maana sikusita kulea mimba, hatimaye mtoto akazaliwa zoezi la kulea likaendelea bila shida nilijitahidi kwa kweli bila kuchoka mtoto akakua na akafika hatua ya kwenda shule mwaka huu mwanzoni tukashauriana na mzazi mwenzangu tukaona ni bora aanze hizi shule za watoto kwa sababu mamaake alikuwa anajishughulisha ikawa shida kumlea ikabidi aende huko kindagaten wanaita

Kama kaiwada nikaandaa mahitaji muhimu ya mtoto kwa ajili kuanza na ada nikawa nalipa kadri inavyotakiwa.

Sasa wakuu kinachoniumiza kichwa mpaka mda huu nisikose cha kufanya ni hiki na kichwa kupata moto mpaka mda mwingine nakosa hata hamu ya kula ni kuwa wakati wanataka kufungua hii likizo fupi ya juzi hii ya wiki mbili nikampigia mwalimu wake kutaka kulipa Ada kwa mshangao mkubwa kabisa mwalimu akaniambia mtoto amahamishwa shule aisee nilitaka kugongwa na gari barabarani nilijihisi vibaya sana ilibidi nikae sehemu nitulie kwanza, maswali yaliokuwa yanakuja kichwa ni Sababu za kumhamisha ni zipi? Kwa nini hakuniambia wakati mwezi wa 8 tarehe 16 tulikuwa pamoja na mzazi mwenzangu na mtoto? aisee mpaka sasa sielewi nikampigia simu ndo ananiambia ni kweli kamhamisha shule aliyohamia hasemi namba za shule husika napewa namba ambazo hazitumiki kichwa kinauma nikamtuma ndugu yangu afatilie shule alipo mtoto hata jina aliloniambia awali kwamba kahamia hicho kishule hakipo, maumivu mara mbili

Mpaka hivi ninavyoandika hapa ameshani block namba zangu zote

Nikipiga simu inatumika.

Wadau naombeni msaada tena ni hatua gani nichukue au kwa uzoefu ni nini kipo hapa, mbona ni wa kwangu kabisa na anafanana na Mimi!

Achana naye.
Siku akikutafuta endelea na Majukumu yako ya kutunza mtoto.

Usilazimishe
 
Kuna kitu hakipo sawa na story za upande mmoja ni ngumu kuhukumu,tuanzie hapa,unajulikana kwao na mzazi mwenzako??kama binti ametulia hana mambo mengi umemsecure vipi???? Anajihakikishia vipi future yake?¿?
 
Ngoja nikusaidie, iko hivi, mtoto no wako. Mama wa mtoto wako ameanzisha uhusiano mwingine, inawezekana sababu hujaonyesha kuwa na future naye. Huyo bwanake mpya kampa sharti la kukata mawasiliano/connection na wewe. Kikubwa kinachowaunganisha ni mtoto so hatua ya kwanza ni kumuhamisha mtoto usiwe na access naye, hatua ya pili ni binti kukufungia vioo.

Suluhisho; achana naye, atakuja kukutafuta yeye mwenyewe. Ila kabla ya kupotea mazima nenda ustawi elezea tukio zima, baki na some records asije akakutungia story huko mbele. Baada ya hapo endelea na maisha yako.
 
Amekunyosha kweli kweli.....wewe unasema unampenda. Lakini sasa ni mwaka wa Tano umemzalisha Pesa unayo kazi unafanya ila unataka kumweka kiporo tu.

Wanaume tuwe na huruma.

Kitendo cha kumzalisha tu kabla ya Ndoa kinamuumiza sana ila kwa kuwa anakupenda akakubaki tu kuzaa lakini familia na jamii yake inamshusha thamani.

Sasa kalea na bado anakupa utamu ila wewe unazunguka tu mikoa yeye umemweka hapo unadhani ni vizuri? Angekuwa binti yako je?

Haya mnayofanya yatakuja kuwatokea kwa watoto wenu machungu yake mtayasikia tu
Haya Mkuu kaninyoosha ushauri wako nini!

Niache alee mtoto mwenyewe ama tufanyeje!
 
Back
Top Bottom