Syria ileeendugu zangu unawajua?
Niwajue wa nn?!
mbona unasema nichukue watoto kwao?
Ulikuwa unataka ushauri au shari?!
ushauri
Yani umenifanya nicheke kwa nguvu hatareee
Watu hawajui kuwa kulea mtt ambae sio wako ni kazi ngumu sanaJudging from your posts in here, nah. You are not cut for motherhood.
Judging from your posts in here, nah. You are not cut for motherhood.
The person behind that Id is not okay. It's a shame these people don't get it.
Kuna mazingira hubidi kumlea mtoto ambae sio wa kwako. Mfano yatima walioondokewa na ndugu. Wala sipingi adoption.Watu hawajui kuwa kulea mtt ambae sio wako ni kazi ngumu sana
Ana pesa ya wapiYaan una miaka 21 uka adopter mtoto kisa umetendwa na hata ukifanya hvyo mtoto akiwa MTU mzima ana haki yakujua kila kitu katika historia yake Dada yangu kama una huruma/pesa anzisha kituo cha watoto yatima utapata wengi na watakuita mama
That it is
Miaka 14.[emoji16] [emoji16] [emoji15] miaka 21 alishatendwa sana. Je alianza lini kuyajua mema ya dunia?
ushauri
Ni msichana nimeshawahi kukutana naye faraghamnashindana kubishana na lijanaume lenzenu linalojifanya lijanamke
nimefurahi majibu yakoUnacheka nn ww?!
Kuna mazingira hubidi kumlea mtoto ambae sio wa kwako. Mfano yatima walioondokewa na ndugu. Wala sipingi adoption.
Tatizo ni kwamba huyu dada ana issues very major zinazohusiana na wanaume. Sasa ataishije na huyo mtoto?
Hapana,Waliovugaga reproductive system zao kwa contraceptive pills sasa waanza kuface fainaili!
Really? Well I think I should.Dont take her seriously!
Hizo habari za wanaume wake ana tunga tu!Fuatilia trends za articles zake utagundua nisemayo
Unapendaaanimefurahi majibu yako
sana tu!!!ulijuaje[emoji23] [emoji23] we si jeuriiii....!Unapendaaa