Ushauri: Mtoto wa kuasili anahitajika haraka

Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?

Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?

Any way nimemuachia MUNGU

Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
Acha ujinga zaa wa kwako, mtoto wa mtu akikua atatafuta wazazi wake na utabaki na maumivu zaidi
 
Kuwa na mtoto wako ambaye anakuita baba au mama kuna rahaa yake ungetafta wakwako( kuzaa), then badae tafta huyo wa kuasili,usimalize upendo kwa wengine anza kwanza kutoa upendo kwa mwanao then utafnya utakvyo,Nimtazamo wangu tuu Miss natafuta.
 
Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?

Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?

Any way nimemuachia MUNGU

Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
Kama ni uongo UJINENRAVYO NDIVYO UTAKAVYO KUWA,
Kama ni kwelii HUKUFUNDISHWA NAMNA YA KUFIKIRI ULIFUNDISHWA CHA KUFIKIRI,
Unakazi sanaa katika MAISHA yako,
ee baba MWENYEZI MUNGU mfungue mtu huyu kutoka katika giza la FIKRA na kuwa na FIKRA PEVU,

Sema
AMINAAA.....
 
Lengo LA hii thread ni kuelezeA ubaya WA wanaume tu Hamna lingine.. Wengi hamajashtuka
Kama ni uongo UJINENRAVYO NDIVYO UTAKAVYO KUWA,
Kama ni kwelii HUKUFUNDISHWA NAMNA YA KUFIKIRI ULIFUNDISHWA CHA KUFIKIRI,
Unakazi sanaa katika MAISHA yako,
ee baba MWENYEZI MUNGU mfungue mtu huyu kutoka katika giza la FIKRA na kuwa na FIKRA PEVU,

Sema
AMINAAA.....
mmetumwa nyie
 
Kwani huna kizazi? Kuna harufu ulizikwapua nyingi sana ukiwa shule.
Pole sana dada yangu ndio maisha.
Ushauri wangu kwako, najua upo lonely sana kwa sababu mara utake mwanafunzi wa kumbeba mara utake ku adopt mtoto.
Hizi zote ni stress.

Nina uhakika huwezi kuasili mtoto. Kuasili mtoto sio jambo dogo kama unavyodhani.

LaIma uwe financial stable kitu ambacho nina uhakika kwa umri wako miaka 21 hujawa stable na hawatakukubalia.
Nitafute PM kwa ushauri zaidi.
Though nakupenda sana, ( sio kimapenzi) kwa sababu najua ushatendwa sanaa. Sitaki kugawana machozi yako.
 
Kuwa na mtoto wako ambaye anakuita baba au mama kuna rahaa yake ungetafta wakwako( kuzaa), then badae tafta huyo wa kuasili,usimalize upendo kwa wengine anza kwanza kutoa upendo kwa mwanao then utafnya utakvyo,Nimtazamo wangu tuu Miss natafuta.
Mkuu mtu kama Wema Sepetu, Lady Jay De walisha sema kwenye media hawana uwezo wa kuwa na watoto na watu wenye matatizo ya kutopata watoto wee unaonaje wakitumia hiyo njia?
 
Back
Top Bottom