Liparamba
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 690
- 592
Ninaye Mmoja Naye pia mwanangu kibailojia 100%, bwana Robot la MatopeWatoto wako?
Ninaye Mmoja Naye pia mwanangu kibailojia 100%, bwana Robot la MatopeWatoto wako?
Ndugu wengine wanaudhi sana, ni bora uokote mbwa ufuge. Words from my own experience, unaweza kupata BP.Kwann usichukue mtt wa ndg yako ambae uwezo wake mdg umlee maana huku africa hatuna desturi ya kuasili watt.
Miss Natafuta napajua kwake. Nikitoka ofisini naenda kujadiliane nae ana kwa ana maana kanichanhanyaaaLakini bwana Robot la tope ungemshauri pia mtoa mada suala lk itakuwa vzr
Dah.... Angalau kwenye hili la mtoto umetia akili kidogo.... masharti yamekuwa nafuu sana... [emoji13] [emoji13]Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?
Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?
Any way nimemuachia MUNGU
Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
Watu kweli wanamuamini mtoa mada?
Nimekupenda bure kabisa...Miss fanyia kazibado najaribu mkuu ila nimeshapiga hatua fulani .. ila nataka na wewe ujue japo kidogo ukiwa na mtoto wa kike utampandikiza chuki kuhusu wanaume si vizuri,
Hahahahahahndugu zangu unawajua?
Mkuu hili swali lako nimeishia kucheka tu!!Ulikuwa unataka ushauri au shari?!
..au ana midlife crisis huyu, hana tofauti sana na yule amanda...!!Kwani huna kizazi? Kuna harufu ulizikwapua nyingi sana ukiwa shule.
Pole sana dada yangu ndio maisha.
Ushauri wangu kwako, najua upo lonely sana kwa sababu mara utake mwanafunzi wa kumbeba mara utake ku adopt mtoto.
Hizi zote ni stress.
Nina uhakika huwezi kuasili mtoto. Kuasili mtoto sio jambo dogo kama unavyodhani.
LaIma uwe financial stable kitu ambacho nina uhakika kwa umri wako miaka 21 hujawa stable na hawatakukubalia.
Nitafute PM kwa ushauri zaidi.
Though nakupenda sana, ( sio kimapenzi) kwa sababu najua ushatendwa sanaa. Sitaki kugawana machozi yako.