Kwa hyo huyo mtoto utamdanganya Kama ni mama yake mpaka Lin? Unadhan atakuchuliaje baada ya kujua ulimficha jambo zito Kama hilo? Mama angu aliwahi kuadopt mtoto miaka 3 akawa anampenda Sana yule mtoto na kumdanganya yeye ndo mama yake. Akiwa darasa la 4 mamdogo alimpiga, wakat analia kwa kipigo akawa anasema " Najua wewe sio mama angu ndo maana unanipiga, nirudishe kituo ulichonichukua" Tokea hapo mamdogo akaacha kumkanya kabisa matokeo yake kufika la Saba dogo akawa anashikishwa ukuta na wenzake, Sasa kawa shoga.